Wadada wa kibongo acheni hizo, mnaboa sana

Wadada wa kibongo acheni hizo, mnaboa sana

bongompya

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
224
Reaction score
43
Wakuu,

Yaani nashangaa sana hivi kwanini wadada wengi wa kibongo huwa wanashobokea sana wanaume wenye magari? Utakuta demu anafuatwa na mwanaume takribani miezi sita lakini bado anazungusha tu, ila akitokea mtu mwenye gari anabeba mzigo kiulaini tena baada ya dakika chache tu?

Ngoja niwape kisa hiki cha kweli kabisa,Siku moja tulikua na msela wangu tukiwa tunarandaranda kitaa, baada ya muda mfupi akatokea dada mmoja akiwa anatokea mbele yetu nahisi kwa namna alivyovaa alikua anafanya kazi kwenye kampuni moja hivi,Msela niliyekuanae kamzimia demu akaamua kumsimamisha ili achezenae (amutokee),Baada ya mimi kuona msichana kasimama mimi nikaamua kutangulia kidogo ili kuwapisha ili wazungumze,baada ya dakika kama 10 hivi wakamaliza mazungumzo na tukaendelea na matembezi kama kawaida.

Nilipomuuliza msela kwamba anipe matokeo, akaniambia kuwa dada kachomia na hayupo tayari kwa kile alichoelezwa na msela.Basi tukaendelea na matembezi na siku ikaisha.Toka sikuhiyo msela akawa anazidi kumfatilia demu bila hata kuchoka,hadi imepita miezi kama 6 hivi bado demu anazingua.Siku moja jamaa akapata wazo alikua na sh. 5000 akaamua kukodi gari aina ya Noah ili aende kumfuatilia demu,kawasha mashine mpaka kwao,alipofika karibu na kwao akamkuta yule dada yupo kiraia akiwa anatoka dukani kwani ilikua siku ambayo sio ya kazi,basi jamaa baada ya kukutana na demu kampigia honi na kumshushua kioo cha ili waweze kutazamana vizuri. baada msela akamkaribisha demu kwenye gari ,kiulaini demu kavunja bega kwenye gari la msela.

Basi Mojakwamoja wakatoka mpaka nyumbani kwa yule demu,walipokaribia nyumbani kwa yule demu jamaa kasimamisha gari na kuanza kukumbusha yale waliyokua wakiongea siku ya nyuma. Baada ya maongezi msichana akashuka kwenye gari na kuelekea kwao akiwa kahaidi kwamba kesho angeweza toa jibu zuri na kumsisitiza jamaa asiwe na wasiwasi.Ilipofika kesho jamaa kakodi tena ndinga tayari kwa kufuata kile alichohaidiwa,kweli mambo yakawa mazuri na toka siku hiyo msela kaaza kuchapa mzigo.

Sasa swali langu ni kwanini dadazetu wanashobokea sana vidume wenye magari bila hata kujua kama ni yakwao au wameazima? Pia ninini kilichomfanya huyu dada amzungushe msela kwa muda kama miezi 6 hivi na alipo enda na gari tena la kuazima hakuchukua hata siku 2 msela kapiga papuchi?

Wadau naombeni maoni na majibu yenu.
 
Acha kutokwa na mapovu tafuta pesa na wewe nunuwa gari lako, nani alikwambia anapenda shida? kero ya daladala nani anaitaka?

Nimekufatilia Thread nyingi sasa naanza kuamini zile tetesi zilizozagaa kuwa wewe ni Shoga ni za kweli. Kila thread inayokosoa mademu na wewe huwa upo kuwatetea hii ni kwa sababu unashinda nao huko saloon kwenu.
 
hahaha mi nimependa icho kipengele cha kufata majibu,,,iv mpaka leo watu wanatongozana alafu anaaidiwa afate majibu siku inayofata au nxt week?,,,hahaha kweli ww na uyo kijana wenu mnahitaj kua upgraded izo enzi ziliisha aisee siku iz majibu n apo apo,,,km kakuelewa anakwambia kama not anakwambia pia ingawa inabd uwe smart,,,poleni sana
 
Kama akikuambia jibu atakupa next day utalazimisha vipi akupe papo kwa papo?
 
Hiyo tabia ni janga kwa mademu wengi sana..Sio bongo tu hata mbele..labda tofauti ni kuwa maduu wa mbele wanaangalia na aina ya usafiri..
Ila bongo hata ukiwa na kastarlet kalichochoka utawang'oa wengi
 
Mpendwa naomba lift
 
Khaa!! Zamani nilijua nina gundu. Dem nikimtokea baada ya siku mbili tatu anaanza kuandamwa na matatizo lukuki yanayohitaji fedha. Mara anti wake atalazwa huku akihitaji operation ya mamilion mara mwenye nyumba wake atataka kodi ya miaka3 mara mdogo wake wa chuo attafukuzwa kwa kukosa ada..basi ni pesa tu na kadiri unavyotatua ndivyo mengine yanavyoibuka. Kumbe sikuwajua wabongo bana 😎
 
ha ha ha watoto bana raha sana.

kwenye research ya vijana waliojiajiri na kukimbiza tanzania,,,leo nimespend siku kwenye print lab ya ki2ko nimeogopa. bongo kuna watu wanapiga kazi.. jana nilikuwa glambox napo nimeogopa pia hiyo saloon..

ila kuja jamiiforums nakuta watu wanawaza mbunye tu na magari ya kuazima.

hivi nyinyi watu hamjifunzi hata kwa wenzenu wanavyopambana... umafikiri kuwaza mbunye ni sifa
 
Khaa!! Right time & place. Hii ni asili bana. Cant escape 😎
 
ha ha ha watoto bana raha sana.

kwenye research ya vijana waliojiajiri na kukimbiza tanzania,,,leo nimespend siku kwenye print lab ya ki2ko nimeogopa. bongo kuna watu wanapiga kazi.. jana nilikuwa glambox napo nimeogopa pia hiyo saloon..

ila kuja jamiiforums nakuta watu wanawaza mbunye tu na magari ya kuazima.

hivi nyinyi watu hamjifunzi hata kwa wenzenu wanavyopambana... umafikiri kuwaza mbunye ni sifa

Mkuu hii ni MMU,kuhusu kujiajiri na upambanaji wa maisha kuna majukwaa yake
 
Kwenye pesa watoto wanatulia tuliii kha benchi unasugulia khaa hauna career.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom