Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Nimejua kwasababu hajawai jitokeza hadharani humu kuwa nishoga
Ila members humu hulalamika kuwa wanafuatwa pm na mashoga
Hapo nimekuelewa.
Nimejua kwasababu hajawai jitokeza hadharani humu kuwa nishoga
Ila members humu hulalamika kuwa wanafuatwa pm na mashoga
Ni kweli usemacho, kuna mmoja aliniharibia siku yangu last week. Nilijiona mwenye mkosi sana kufuatwa PM na mwanaume mwenzangu, akiniomba nimle nyuma...i was so embarrassed, nikaomba Mungu nisipatwe na mikosi...Nimejua kwasababu hajawai jitokeza hadharani humu kuwa nishoga
Ila members humu hulalamika kuwa wanafuatwa pm na mashoga
Ni kweli usemacho, kuna mmoja aliniharibia siku yangu last week. Nilijiona mwenye mkosi sana kufuatwa PM na mwanaume mwenzangu, akiniomba nimle nyuma...i was so embarrassed, nikaomba Mungu nisipatwe na mikosi...
Na nyie acheni kushobokea wenye matako makubwa.
Halafu dunia hii si kila Mtu na starehe zake!
Yaani unitembeze kwenye bodaboda nivuruge nywele wakati sports zipo mjini kibao full Ac!
Nunua yako.
Na wewe tengeneza papuchi yako.
Mpendwa naomba lift
Wakuu,
Yaani nashangaa sana hivi kwanini wadada wengi wa kibongo huwa wanashobokea sana wanaume wenye magari? Utakuta demu anafuatwa na mwanaume takribani miezi sita lakini bado anazungusha tu, ila akitokea mtu mwenye gari anabeba mzigo kiulaini tena baada ya dakika chache tu?
Ngoja niwape kisa hiki cha kweli kabisa,Siku moja tulikua na msela wangu tukiwa tunarandaranda kitaa, baada ya muda mfupi akatokea dada mmoja akiwa anatokea mbele yetu nahisi kwa namna alivyovaa alikua anafanya kazi kwenye kampuni moja hivi,Msela niliyekuanae kamzimia demu akaamua kumsimamisha ili achezenae (amutokee),Baada ya mimi kuona msichana kasimama mimi nikaamua kutangulia kidogo ili kuwapisha ili wazungumze,baada ya dakika kama 10 hivi wakamaliza mazungumzo na tukaendelea na matembezi kama kawaida.
Nilipomuuliza msela kwamba anipe matokeo, akaniambia kuwa dada kachomia na hayupo tayari kwa kile alichoelezwa na msela.Basi tukaendelea na matembezi na siku ikaisha.Toka sikuhiyo msela akawa anazidi kumfatilia demu bila hata kuchoka,hadi imepita miezi kama 6 hivi bado demu anazingua.Siku moja jamaa akapata wazo alikua na sh. 5000 akaamua kukodi gari aina ya Noah ili aende kumfuatilia demu,kawasha mashine mpaka kwao,alipofika karibu na kwao akamkuta yule dada yupo kiraia akiwa anatoka dukani kwani ilikua siku ambayo sio ya kazi,basi jamaa baada ya kukutana na demu kampigia honi na kumshushua kioo cha ili waweze kutazamana vizuri. baada msela akamkaribisha demu kwenye gari ,kiulaini demu kavunja bega kwenye gari la msela.
Basi Mojakwamoja wakatoka mpaka nyumbani kwa yule demu,walipokaribia nyumbani kwa yule demu jamaa kasimamisha gari na kuanza kukumbusha yale waliyokua wakiongea siku ya nyuma. Baada ya maongezi msichana akashuka kwenye gari na kuelekea kwao akiwa kahaidi kwamba kesho angeweza toa jibu zuri na kumsisitiza jamaa asiwe na wasiwasi.Ilipofika kesho jamaa kakodi tena ndinga tayari kwa kufuata kile alichohaidiwa,kweli mambo yakawa mazuri na toka siku hiyo msela kaaza kuchapa mzigo.
Sasa swali langu ni kwanini dadazetu wanashobokea sana vidume wenye magari bila hata kujua kama ni yakwao au wameazima? Pia ninini kilichomfanya huyu dada amzungushe msela kwa muda kama miezi 6 hivi na alipo enda na gari tena la kuazima hakuchukua hata siku 2 msela kapiga papuchi?
Wadau naombeni maoni na majibu yenu.
Nimekufatilia Thread nyingi sasa naanza kuamini zile tetesi zilizozagaa kuwa wewe ni Shoga ni za kweli. Kila thread inayokosoa mademu na wewe huwa upo kuwatetea hii ni kwa sababu unashinda nao huko saloon kwenu.
Haaa haaa huogopi kutafunwaaaa ?
Tutatafunana tu maana hakuna namna
Nunua yako.
Na wewe tengeneza papuchi yako.
Ha haaa kaaazi kweli kweli, basi njoo nikupe lifti japo nna kivtz tutafika tu ......
Na wewe tengeneza papuchi yako.