Wadada wa kibongo acheni hizo, mnaboa sana

Wadada wa kibongo acheni hizo, mnaboa sana

Acha kutokwa na mapovu tafuta pesa na wewe nunuwa gari lako, nani alikwambia anapenda shida? kero ya daladala nani anaitaka?

Ngoja uone wavulana watakavyotokwa na mapovu sasa, wao wajuacho ni kuponda wanawake tuuu sijui inawapa relief, au wanadhani hayo machambo,vipondo na malalamiko, ndivyo vinawapa hela!!
Sijui nani anapenda shida humu duniani!

Khaaaah mtuache tupumue bwana, na pigeni kazi mnunue magari na nyie muache kuazima ya wanaume wenzenu mnadhani wameyaokota!!
 
ha ha ha watoto bana raha sana.

kwenye research ya vijana waliojiajiri na kukimbiza tanzania,,,leo nimespend siku kwenye print lab ya ki2ko nimeogopa. bongo kuna watu wanapiga kazi.. jana nilikuwa glambox napo nimeogopa pia hiyo saloon..

ila kuja jamiiforums nakuta watu wanawaza mbunye tu na magari ya kuazima.

hivi nyinyi watu hamjifunzi hata kwa wenzenu wanavyopambana... umafikiri kuwaza mbunye ni sifa

umefuata nini mmu,huku ni stori za mbunye tu kama vipi uwe unakwenda jukwaa la siasa tu.huku mbunye mbunyenye
 
ha ha ha watoto bana raha sana.

kwenye research ya vijana waliojiajiri na kukimbiza tanzania,,,leo nimespend siku kwenye print lab ya ki2ko nimeogopa. bongo kuna watu wanapiga kazi.. jana nilikuwa glambox napo nimeogopa pia hiyo saloon..

ila kuja jamiiforums nakuta watu wanawaza mbunye tu na magari ya kuazima.

hivi nyinyi watu hamjifunzi hata kwa wenzenu wanavyopambana... umafikiri kuwaza mbunye ni sifa

Na wewe umejifunza na kufanya nini na siye tujifunze?
 
kabla ujauliza ilo swali jiulize kwanini jogoo anatafuta punje ya nafaka ndio kisha am invite mtetea...so mi naona hiyo ni nature kuwa mwanaume lazima uwe na kitu cha kumvutia mwanamke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom