Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,876
We kila siku unasikitika tuu 😀😀😀😀Inasikitisha sana
Unaumwa wewe
We kila siku unasikitika tuu 😀😀😀😀Inasikitisha sana
Nyama ziusike chef 😂Imeisha iyoooo
A man is a sex machine he will use any means to have u only for sex apart from his wife.😂😂Kwani nyinyi waga mnataka Nini😹?!
Nashangaa kabisa 😂Hana kabisa leo
Pori tenaNyama ziusike chef 😂
Mahesabu ni makali dogo 😂tunazoom tunaziona mpaka kesho, wale shwaaa. Mta bant peke yenuMpaka unafikia umri uho acha zako 😂
Nataman ndio maan nimekuita hapa tuambieUtamani kujua siri za watu wazima ?
Au sio😂Mahesabu ni makali dogo 😂tunazoom tunaziona mpaka kesho, wale shwaaa. Mta bant peke yenu
Wee mdada bant ndio nini?Mahesabu ni makali dogo 😂tunazoom tunaziona mpaka kesho, wale shwaaa. Mta bant peke yenu
The bar can never be lowAu sio😂
Daaaaaa!Embu tuambie ni kitu gani kilikutokea au likifanya kwenye mahusihano au ulikutana nacho na ukakifanya end of the day ukajiona mpumbavu baada ya akili yako kuwa sawa
The bar was so low tell us
I don'thaha I remember you said you don't fornicate!
Heeeee! 😅Nilivunja kadi ya bank eti kisa alikataa twende shopping 😹😹
Bora umejileta embu fungukaDaaaaaa!
Hakuna mengin mm naona yapo mengu tu utak kusemaNilivunja kadi ya bank eti kisa alikataa twende shopping 😹😹
Fanya yote, ila chunga usibant..Wee mdada bant ndio nini?
The bar can never be low
Mahusiano yenye malengo ni long distance relationshipA man is a sex machine he will use any means to have u only for sex apart from his wife.😂😂
Ndio maana kama unataka mahusiano ya malengo ogopa mwanaume atakae kuomba nyau kabla ya ndoa