Wadada wa jf kwa nini lakini?

KUMBE WATU HAMUELEWI KINGEREZA KIASI HIKO, amesema profile sio PM yeye anaongelea profile
 
Mbaya zaidi ni photos za kudownload mtandaoni na sio zao .Mtu anatafuta picha yenye matako makubwa au sura ya kuvutia kama wale mademu wa capeverde akishamaliza kuweka psychologically anajihisi ni yeye.
But anyway kila mmoja anahaki ya kufanya kile anachopenda
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hivi inawezekanaje mtu aweke picha ya mtu mwingine au aliyoedit na AI hadi sura ikabadilika na akajihisi ni yeye
 
Mimi sitaki nyuzi zangu za miaka ya nyuma zisomwe maana mimi mwenyewe baadhi nikizisoma napata kiungulia, muda mwingine najiuliza hivi hadi nikaandika thread kama hii nilikuwa nimelewa ama?
 
KUMBE WATU HAMUELEWI KINGEREZA KIASI HIKO, amesema profile sio PM yeye anaongelea profile
Hahaaa imenibidi nirudie tena kusoma asee, we don't pay attention to details most of us. By the way, profile huwa inawekana kufungwa kumbe!!
 
Mimi sitaki nyuzi zangu za miaka ya nyuma zisomwe maana mimi mwenyewe baadhi nikizisoma napata kiungulia, muda mwingine najiuliza hivi hadi nikaandika thread kama hii nilikuwa nimelewa ama?
Pole, nina issue hiyo pia, yani nyuzi nyingine hata kuzisoma tena huwa siwezi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…