Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,260
- 5,386
Mna pungukiwa nini kufunga profile zenu , au nini kinaongezeka ?
Mbona sisi hatufungi na hakuna baya ?
Na ni kwamba mna ambizana ama?
Maana wamebaki wachache sana karibu na hamna wote mmefunga!!
Anyway! jumapili njema.View attachment 3612259
Kwani kutofunga profile kuna hasara gani mkuu?Mna pungukiwa nini kufunga profile zenu , au nini kinaongezeka ?
Mbona sisi hatufungi na hakuna baya ?
Na ni kwamba mna ambizana ama?
Maana wamebaki wachache sana karibu na hamna wote mmefunga!!
Anyway! jumapili njema.View attachment 3612259
Uzi ufungwe
Humu namna tuvyochat, mara nyingi inaonesha haiba ya mtu ilivyo.
Utafunguliwa tu na utakaribishwa kwa heshima, tena inawezekana utaanza kutafutwa wewe. Au ukigusa tu, mtoto anakwambia twende PM, Endapo wakikulewa. Ila hakikisha chats zako humu jukwaani zinakuakisi kuwa (Smart, Unajiamini, Pesa ipo)
Ila dalili zikionesha huna kati ya hivyo au vyote. Hutatoboa huko PM.
Kila la Kheri Mkuu.
Tatizo lipo, mna kosa mengi na mnatukosesha mengiMimi sijaona tatizo hapo mkuu! Kama mtu hana sababu ya kuiacha wazi kwanini aiache? Pia kuna wanaume wengi tu wamefunga mbona!
Cc: The Icebreaker
Kama yapi?Tatizo lipo, mna kosa mengi na mnatukosesha mengi
Hii ni kweli kabisa!Humu namna tuvyochat, mara nyingi inaonesha haiba ya mtu ilivyo.
Utafunguliwa tu na utakaribishwa kwa heshima, tena inawezekana utaanza kutafutwa wewe. Au ukigusa tu, mtoto anakwambia twende PM, Endapo wakikulewa. Ila hakikisha chats zako humu jukwaani zinakuakisi kuwa (Smart, Unajiamini, Pesa ipo)
Ila dalili zikionesha huna kati ya hivyo au vyote. Hutatoboa huko PM.
Kila la Kheri Mkuu.
sasa mie mumama wa makamo, sina nnaloliogopa😀😀😀Bora hata wewe hujafunga
HUJAELEWA ANAONGELEA PROFILE SIO PMKitendo cha wanawake kufunga (ku-disable) 'Private Messages' (PM) kwenye mtandao wa JamiiForums Tanzania ni uamuzi binafsi unaochochewa na sababu mbalimbali kama vile kujilinda na usumbufu, udhalilishaji wa mtandaoni, au faragha. Kitendo hiki mara nyingi huzua mijadala mikali na kuonekana na wengi kama ishara ya uchoyo wa mawasiliano na ubinafsi.