Wadada wa jf kwa nini lakini?

Kitendo cha wanawake kufunga (ku-disable) 'Private Messages' (PM) kwenye mtandao wa JamiiForums Tanzania ni uamuzi binafsi unaochochewa na sababu mbalimbali kama vile kujilinda na usumbufu, udhalilishaji wa mtandaoni, au faragha. Kitendo hiki mara nyingi huzua mijadala mikali na kuonekana na wengi kama ishara ya uchoyo wa mawasiliano na ubinafsi.
 
Huyu ni AI
 
Maelezo ya AI
 
Mimi sijaona tatizo hapo mkuu! Kama mtu hana sababu ya kuiacha wazi kwanini aiache? Pia kuna wanaume wengi tu wamefunga mbona!

Cc: The Icebreaker
Kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha yake,
Ukianza kuumia kwa maamuzi ya wengine kwenye maisha yao,basi tambua kua wewe ndio tatizo,

Live the life you love
Love the life you live.
 
Humu namna tuvyochat, mara nyingi inaonesha haiba ya mtu ilivyo.

Utafunguliwa tu na utakaribishwa kwa heshima, tena inawezekana utaanza kutafutwa wewe. Au ukigusa tu, mtoto anakwambia twende PM, Endapo wakikulewa. Ila hakikisha chats zako humu jukwaani zinakuakisi kuwa (Smart, Unajiamini, Pesa ipo)

Ila dalili zikionesha huna kati ya hivyo au vyote. Hutatoboa huko PM.

Kila la Kheri Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…