Wadada wa instagram na Facebook.

Starehe gharama!
 
Alitumbia hataki tena wanawake weusi anataka wazungu imekuwaje anahangaika na mademu weusi wa fesibuku ?
Wewe sema tu Ukijaribu ni liko jaribu ukala za uso, ndezi unajifanya una wisdom ila kazi kumendea mademu wa jf
 
Huyu ni kiazi
Unajua nilikuwa najiuliza ni kwanini unapenda kubishana na watu sana humu?

Sasa nimegundua wewe ni mbaya wa sura, una nongwa sana, unajaribu kutafuta mtu akupe attention, ila bahati mbaya wajuvi wamesha jua huna housing nzuri na hakuna wa kurusha ndoano kwako tena.

Unajua kabisa huna uzuri wa aina yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…