Wadada wa Chit chat msitulaumu sisi wa baba wa Chit chat!!!!!!!!!!!

Wadada wa Chit chat msitulaumu sisi wa baba wa Chit chat!!!!!!!!!!!

Wote ni muumba ila tuna maali tulitokea hata Yesu aliletwa na mungu lakini Joseph akawa chanzo japo Bikra maria hakuwa ametembea naye!!

tumetokea kwenye udongo tena wa mfinyanzi na tunajiandaa kurudi tulikotoka na ndiyo maana wahenga hunena "mwiba uingiliako ndiko utokeako."
 
ama!!!!.............gani inaendelea hapa?!?! KakaKiiza kimenuka?!? kuna mtu kakijambia?!?!? aisee pole sana.........
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza hebu ninong'oneze umetemwa wapi au umetema wapi au una mpango wa kumvizia nani Mamndenyi au Passion Lady au Paloma au Kongosho au gfsonwin au snowhite au sweetlady au Chocs au Nivea au marejesho au Lady doctor au shansarie au Madame B au Evelyn Salt au Dena Amsi au Preta au Blaki Womani au Zion Daughter au King'asti (hapa utapambana na Paw). Ila Dena Amsi usimguse patachimbika hapa

Mr Rocky !! kama ana nia ya kunivizia awe tayari na kukataliwa bila kujijua, sipimiki wala sibebeki.... Hapana gusa kabisa mimi!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ana matatizo sana anahitaiji kupata ushauri nasaha kidogo ngoja tumwite doctor wa saikolojia Lady doctor come this way

nikweli uyasemayo huyu anahitajiwa kufanyiwa checkup haraka sana anapoelekea atakuja kubaka hata vikongwe we huoni anavyo imbaimba ovyo nyimbo za mapenzi barabarani huku akicheza kiliwazenza?
 
Last edited by a moderator:
imenenwa yakuwa: usinukuu wala kuongeza, kuharibu maneno ya kitabu cha uzima cha Mungu, angalia utapigwa power of touch, Chimbuvu

ayebisi yo ke ngando oyo aza maladi; ndimela yeo, mpo bango nyoso bavandaka na mayi {If the fish (catfish) tells you that this crocodile is sick, accept it because they all stay in the water.}
 
Back
Top Bottom