Wadada wa Chit chat msitulaumu sisi wa baba wa Chit chat!!!!!!!!!!!

Wadada wa Chit chat msitulaumu sisi wa baba wa Chit chat!!!!!!!!!!!

lakini shost kuna mahali
nimepita,nimemkuta Chimbuvu na Madame B
wapo pamoja tena hizo sifa anazomwagiwa bi dada
usipime nikasema chineeeeeeke,lazima nikufikishie
shoga unaliwa,kua makini,hapo huna mchumba we kula mihela tu basi!!

hata Madame B pia anamchuna, sema hajijui tu huyu mkongo. madame ana wake anayempenda kwa dhati nami nina wangu sema huyo wangu bado hajajijua kama yeye ni wangu
 
Last edited by a moderator:
huyo haishiwi kurusha ndoano ikinasa analala hukohuko na hakumbuki kunkurudi nyumbani hala hala wanamweza wa jiji dasalama tu

aiseeee!!kwangu atajiju
loya macho kodo ananilinda kwa rah zake!!
nitakuja pm my dada baadae tubonge!!
 
Back
Top Bottom