Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
Ntakurudisha kwenu wakakufundishe heshima
Wewewe,
Ushindwe na Ulegee.
Wewewe,
Ushindwe na Ulegee.
mimi kwenye hiyo list ni ''MTUMBA, ALREADY USED'' ni exclude kabisaKakaKiiza hebu ninong'oneze umetemwa wapi au umetema wapi au una mpango wa kumvizia nani Mamndenyi au Passion Lady au Paloma au Kongosho au gfsonwin au snowhite au sweetlady au Chocs au Nivea au marejesho au Lady doctor au shansarie au Madame B au Evelyn Salt au Dena Amsi au Preta au Blaki Womani au Zion Daughter au King'asti (hapa utapambana na Paw). Ila Dena Amsi usimguse patachimbika hapa
makubwa haya ushamuacha mkeo Madame B, wewe kweli kiboko tena cha tembo
hii ndio salamu yako yakukumbuka birth day date yangu ya leo au sikuelewi vile!!Kielezavyo kichwa cha habari hii naomba msitulaumu wa baba wa chit chat!kwani babayetu ni mmoja ambaye ni Invisible hivyo hata tabia tunafanana tunapishana padogo kama sehemu ya mtoto anapoanza kukua uchukua mkondo wake kwa ajili ya kuendeleza kizazi chake!!ila hata hivyo tuvumiliane tu!
manoah nilikutafuta last week ktk simu sikukupata
Ntakurudisha kwenu wakakufundishe heshima
Usinitishetishe wewe.
Wapo wanaume kibao kwenye mnyororo nyuma yangu wananisubiri.
Kielezavyo kichwa cha habari hii naomba msitulaumu wa baba wa chit chat!kwani babayetu ni mmoja ambaye ni Invisible hivyo hata tabia tunafanana tunapishana padogo kama sehemu ya mtoto anapoanza kukua uchukua mkondo wake kwa ajili ya kuendeleza kizazi chake!!ila hata hivyo tuvumiliane tu!
KakaKiiza wangu ni Muumba tu!
Hafai hata kwa mchuz huyo.
bora wewe umemkumbusha kuwa sisi wote ni wa Mungu na hatutokani na mwanadamu
ana matatizo sana anahitaiji kupata ushauri nasaha kidogo ngoja tumwite doctor wa saikolojia Lady doctor come this way
KakaKiiza hebu ninong'oneze umetemwa wapi au umetema wapi au una mpango wa kumvizia nani Mamndenyi au Passion Lady au Paloma au Kongosho au gfsonwin au snowhite au sweetlady au Chocs au Nivea au marejesho au Lady doctor au shansarie au Madame B au Evelyn Salt au Dena Amsi au Preta au Blaki Womani au Zion Daughter au King'asti (hapa utapambana na Paw). Ila Dena Amsi usimguse patachimbika hapa
Nimeona kuwa na wewe nimmojawapo mnaochangia kutonipenda!Heri umpe tu huyo wa kwako KakaKiiza hana issue yoyote
atakuita pm hapo hapo anakimbia
hata huyo aliyempiga chini kafanya vizuri.
Arusha mko salama kweli huko?
Nitake radhi mimi siwezi kuua ndugu zangu!!Haya, umafanya tukio gani tena?
Nahisi ndio umerusha bomu Arusha wewe
Kwani mimi umeambiwa mimi ni janjaweed??Asihangaike kunivizia mie
Kabla hajanivizia, nitakuwa nshamkaba koo
Kuna mhindi siku hile nilimuana nitarudi naomba msaada wakunipiga kampani!!Arusha tuko salama Mungu anatupigania aise. Huyo KakaKiiza asijaribu kabisa maana hapa patachimbika na atahama JF kama sio kupigwa life ban
Arusha nimeisha palenga!!
Sasa kazi ni kwenu wadada maana inabidi mmtafute haa kama mlijikuta dogodogo centre mna mama!!kwahiyo tufanyaje unavyosema hivyo? halafu tunataka tumjue mama yenu kwani nyie mlipatikanaje kwa huyo baba yenu Invisible ili tuanze kuwafunda hapa
Weeeee nani kasema wewe ni re-used???mimi kwenye hiyo list ni ''MTUMBA, ALREADY USED'' ni exclude kabisa
Nakuja kwa phone ku apolojaizi!!sawaa ehe??hii ndio salamu yako yakukumbuka birth day date yangu ya leo au sikuelewi vile!!
Wote ni muumba ila tuna maali tulitokea hata Yesu aliletwa na mungu lakini Joseph akawa chanzo japo Bikra maria hakuwa ametembea naye!!KakaKiiza wangu ni Muumba tu!
Na wewe unahangaika mimi nilishakupa wakwako juzi pamoja na DSA ya siku tatu namnani au??Ajakupendezea sema niangushe kifaa kingine!!Chezea KakaKiiza weye!:boink:Unanitaka mimi au Passion Lady.