Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Bolingo na ngai,na motema mingi Lady doctor
Yoka bien, Madame B akotondisela motema nayo na bolingo ya solo.......!!!
Last edited by a moderator:
Bolingo na ngai,na motema mingi Lady doctor
ngoja nimmwite Lady doctor akutibu mm sio mtaalamu wa saikolojia natoa ushauri nasaha tu
mnakuza ukoo..?
​aku!! Ruttashobolwa almasi babu weee!!
nimekushika,kumbe wewe ndio unaempa umbea mke wangu Lady doctor?
tugawane hiyo almasi basi shost, uchoyo dhambi atiii
Hiyo ruxa imetoka mdomoni au moyoni mkuu PJ?
thuuubutuuuu!!almasi yangu
wala haigawanyiki shost!!uchoyo asili
yangu ujue,tena kwa hilo ngumu kumeza!!
shost nawe mgumu haya baki nayo hiyo almas yako ngoja mie nakaiafute Tanzanite niimiliki
Iam taken already.My love is for one and only one stevoh .KakaKiiza hebu ninong'oneze umetemwa wapi au umetema wapi au una mpango wa kumvizia nani Mamndenyi au Passion Lady au Paloma au Kongosho au gfsonwin au snowhite au sweetlady au Chocs au Nivea au marejesho au Lady doctor au shansarie au Madame B au Evelyn Salt au Dena Amsi au Preta au Blaki Womani au Zion Daughter au King'asti (hapa utapambana na Paw). Ila Dena Amsi usimguse patachimbika hapa
Kuna sehemu umeharibu eeh!
Afu wewe!!
Mambo zako? Ningekwambia, but nachelea uchakachuzi wa sredi ya wenyewe!