1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,326
- 12,691
- Thread starter
- #41
Mkuu hata ingekuwa wewe, ule mguu wa tatu ukichachamaa ni shida kweli
Huna sabab ya msing,..mfano mtu akikuuliza y....kwamba unaogopa kufanyiwa utundu ama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitoka salama, aukulowaHii scrub mpyaaa kabisaa. Amenikalia mapajani huku ananiscrub.
Ananiuliza, "kaka kwani unaumia?"
MTATUFILISI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh,Kuna vitu havina maana kwangu tena niende saloon kisa mwanamke anishikeshike huko nimeshapita hamna cha maana nachopata
Ile baishara mi naona wanajiuza mle ndani, wazoefu,,Kuna moja nimezoea kwenda kuna mademu wakali mbaya.. Kuna siku kamoja kakawa kananicrub usoni Mara kakashua mkono shingoni nilijikuta nasisimu mpaka kakanishtukia...kalivyona ivyo si kakaupenyeza kifuani kakanigusa chuchu duu kidogo niruke,alafu kwa sauti laini kakaniambia "nikakufanyie mwili mzima"?.. Duuh nikamwambia hyo biashara hapana!..sijui ile mikono yao Ina nn kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujua ila hali ilivokuwa tete ikabidi nifanya kusaka ganda la ndiziMmm una maana ulikuwa unajua unaenda kufanya nini
Umewaiga As Vita na Al Ahly kwa mnyama?
Hahahanjo nikunyoe kwa wembe na povu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapana big nipo zangu Kino Daslam hapa
Me nikifikiria anawakalia wangapi hivo kwa siku na genye zote zinaondoka!!!
Sent using Jamii Forums mobile app