Wadada wa barbershop mpunguze utundu, yaani mwili wangu wote unasisimka

Kuna moja nimezoea kwenda kuna mademu wakali mbaya.. Kuna siku kamoja kakawa kananicrub usoni Mara kakashua mkono shingoni nilijikuta nasisimu mpaka kakanishtukia...kalivyona ivyo si kakaupenyeza kifuani kakanigusa chuchu duu kidogo niruke,alafu kwa sauti laini kakaniambia "nikakufanyie mwili mzima"?.. Duuh nikamwambia hyo biashara hapana!..sijui ile mikono yao Ina nn kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile baishara mi naona wanajiuza mle ndani, wazoefu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom