Wadada wa barbershop mpunguze utundu, yaani mwili wangu wote unasisimka


sabosabo

sabosabo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Messages
1,469
Likes
3,145
Points
280
sabosabo

sabosabo

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2012
1,469 3,145 280
Njoo takufanyia mwenyewe, sitaki utani na mali yangu bebee!
Hii kauli nilikua naisubiri kwa muda mrefu sana hata Sakayo Shunie najua wataifurahia
 
E

Ekuweme

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
753
Likes
757
Points
180
E

Ekuweme

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
753 757 180
Mimi kuna mmoja nilienda kufanya scrub pale Tunduma, akaniambia naweza kuja kukufanyia hata chumbani kwako ukitaka, ila hiyo inakuwa laki moja pamoja na 1huduma nyingine zote za dharura utakazo hitaji pamoja na VAT

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,506
Members 485,585
Posts 30,124,391