Wadada wa barber shop...mh...

ngoja na mie nianze kunyoa kwenye hizo barber shop.. niacheni na mambo ya kunyoana vijiweni na topaz
mnachanjana tu buree...njoo huku uone raha. but acha wallet home. njoo na budget kamili
 
Hakuna kitu nachukia kama kuoshwa au kufanyiwa scrub na hao wadada wa barber shop! Vinyozi huwa wananishangaa sana kwa msimamo wa kukataa nnaokuwa naonesha.
 
Hahahaha ndiyo sababu Ukifika wakati wa kuniscrub wanaenda nje, kumbe kwa sababu ya mkono wa birika? Doooh!!
 

.....yani wewe, mhhh!!
 
kwa mpango huo sitaacha kumsindikiza
Mwache mzee akawezeshe biasha za watu, unadhani hao kina dada watakula wapi? then watakua hawamuhudumii vizuri.
Muachie uhuru bhana..
 
ntamsafisha mie watakapobakiza
Hhahaa...usiwe hivyo bhana, we hutaki challenge? ukitaka kujua thamani ya mumeo/mke uone watu wanampapatikia. Mie huwa naenjoy sana nkiona gf wangu anafuatwa..najua yeeees hapa nlipata lulu...
 
Hhahaa...usiwe hivyo bhana, we hutaki challenge? ukitaka kujua thamani ya mumeo/mke uone watu wanampapatikia. Mie huwa naenjoy sana nkiona gf wangu anafuatwa..najua yeeees hapa nlipata lulu...
hakuna sehemu ntaenda na mme wangu wasichana wasigeuke kumtizama hilo nshalizoea sio geni
 
TUMEPATANA, siunajua ndege wanao fanana huruka pamoja
Hahaha..wew ukiangaliwa ye anafanyaje? au akija nyumbani hakuulizi kama unataarifa za kuangaliwa kwako? then CHEATING IS PROHIBITED?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…