ngoja nianze kumnyoa mpenzi wangu mwenyewe naomba list ya vitu vinavohitajika
mzee wa totoz nyeusi za kiafrica upo?
kaka nipo hasa ukioshwa na mtoto mweusi kaka ni shida unaweza acha milion
watoto weus jaman watam eti
Duh umenikumbusha kichwa kinawashwa wacha nikasuguliwe baadae
kaka mi ndo jembe afrika na afrika ndo home na tuna vitu vizuri,pande zipi kaka?hahahahah Jembe africa kweli unaendana na ID yako.
mshana kwa vibom hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNi full mizoga wale madada na wanaboa mwanzo mwisho ndo maana mimi huwa sioshi au kuscrub nk. Nikishanyoa tu nalipa fasta natoka nduki huku nikisindikizwa na misonyo sauti ya kwanza yenye stereo kaliii....!
Wenye hizi barber shop huwa wanafanya kusudi kwa kuwaweka warembo haswaa kwenye saloon zao.
Bila kusahau wanatoa ile huduma nyingine kama hawana akili vileee...( hapa nazungumzia % kubwa)
kisu,tindikali,oil ,na grenda ya kunyolea
hivi ushapata mchumba tayari au bado ?
hivi ushapata mchumba tayari au bado ?
anachagua sana, kupata mweusi sio kazi ndogo carolite ishafanya yake mtaani kila mtu mweupe
sijapata,shida unaweza kupata akawa mzigo,labda aje na mtaji
Hii ni kweli mkuuu
kUINGIZIWA VIDOLE kwenye masikio yaani Du......khaaa
Dah ! we ni bonge a danger ,kwa hiyo wewe unaenda kunyoa na kufuata huduma za wakubwa? teh!
we mwenyewe mzigo hapo ulipo