Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,954
sawa me nauza pungufu tunaongea...
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Njoo
PM
Inasikitisha kila kitu kWakuu poleni na hongereni kwa kazi.
Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki.
Hapa kazini, kuna single mom. Yuko vizuri sana. Nimekua nikimuomba game kwa muda mrefu.. Jana akaniuliza... Niko serious kweli, nikamwambia ndio. Tukapanga tukapige game kesho J tano. Leo asubuhi ananiambia Mbona M pesa haijacheka. Yani nitume hela kwanza. Nimechoka.
Mtaani kuna mtoto mmoja mkali sana, nikaonyesha interest kwake, baada ya kuona anaelekea nikamuomba namba ya cm.. Akaniambia hana simu. Maana yake nijiongeze. Nikachoka.
Sasa swali kwenu akina dada, huduma hiyo sasa imekua biashara?? Kama ndio, basi si muaze kutoa na risiti, VAT.
Acha kuzingua....single mom wazuri kinoma....mpe hela huyo greater or equal to elfu kumi af <=20000......ila pia angalia na kipato chako na muda huo kama uko njema au laHuyu single mom bado nachonga nae hapa... Nimemuuliza nimrushie sh ngapi M pesa.!? Anasema yeyote ntakayoona itamsaidie yeye na mwanae.
Kazi kweli.
Hiyo tata sana....asije akaanza kudeal na vichoko sasa ohooo maana siku hizi umdhaniae siye....adeal tu na papuchi hata kununua.....la sivyo utatakuna rafiki yangu wa kiume alinambia hatakuja kutaka papuch ya mwanamke masikini tena sijui alimanisha nn
Njoo ntakupa 30000 nadhani ningemjibu hivoWacha kabisa naona imekuwa biashara,juzi jmosi yupo demu kama week hivi hatujawasiliana,hivyo nilijisikia tu kuwasiliana nae nimjulie hali basi baada ya salamu,akanitext "baby naomba elfu 20 nimepelewa kuna inshu nataka ninunue"nikiwa bado naitafakari hio sms ghafla text nyingine hio inasema "halafu Leo nina hamu ya kulala kwako" Mhhh nikajua hili changa la macho tu coz tumezoeana halafu sijawahi kupiga
macho kuvimba watakukomaNataka nifanye masegereeee masegereeee nikinukishe kinomanoma
Wa aina tulivoumbwa hivo hivo.[emoji1]Sijui wanaume ni viumbe wa aina gani yaani ulalamishi kila kukicha hata kwa jambo dogo.
Ati ntokeje?macho kuvimba watakukoma
Hahahaha hakuna kulalamika kuchangia ni wajibu wa kiume hatuna budiMkivikuta vichafu mnapuga kelele, mkimabiwa mchangie gharama kama hivyo pia mnapayuka.... Sasa jema lipi?
Acha fiksi ni lazima nyiehapana kufika si lazima
Hahahah ni huyo tu analalama aisee hatuwakilishi yuko peke yake akilalamaSina budi kukuomba radhi kwa kweli. Sasa mmepotelea wapi aisee hadi wamebaki hawa ambao wakiomba hata hela ya soda wanakuja kulalamika.
Uwezo twatofautiana wa M wapo wa laki wa elfu kumi zote tupo ilimradi tunatoaUnajua sikuizi wanawake wanajishughulisha sana kuliko wanaume? hizi senti zao wanazotoa ni za kuwapima tuu kama wanaweza majukumu au laa sasa laki mtu anapiga kinanda wale wanaotoa M na kwenda juu wasemeje? na basi ukipata bahati sasa ya kupewa hicho kiji laki Alokufa mungu amrehemu hiyo sugua yake shuti jasho lamtoka kama yuko GYM..lol