TUTU wa Jijia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 726
- 567
Hamufikishwi wapi??Ni kweli mkuuu sababu hata kutufikisha kwenyewe hamuwezi
Hamufikishwi wapi??Ni kweli mkuuu sababu hata kutufikisha kwenyewe hamuwezi
KiboHamufikishwi wapi??
Kwani nauli sh. ngapi? Minajitolea uende mwenyewe huko Kibo mkuu au nilazima mpaka ufikishwe na mtu!Kibo
HahahahahahUsipokua tayari kuliwa huli,sasa wewe unataka kula tu kuliwa hautaki(in jk voice)
Kwan dudu sio tamu mbona unafikiria kivivu wwSiyo biashara lkn MTU siyo mkeo umuombe tu game aje upige burebure. Aoge kwa sabuni yake mwenyewe ka perfume apige na kipodozi isitoshe na nauli ajilipie kukufuata then we we ufurahie tu game. Mambo mengine hampaswi kulalamika
Hawa washamba wako wengi mbona kwasababu mapenzi wameanzia ukubwani na ht hawayajui ndo mana wanaishia kumpa mwanamke pesa na kumuhudumia kila kitu...sisi madume suruali ndo tunajua wanawake wapo wengi na kuwapata ni rhs ndo mana wagumu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sina budi kukuomba radhi kwa kweli. Sasa mmepotelea wapi aisee hadi wamebaki hawa ambao wakiomba hata hela ya soda wanakuja kulalamika.
Wakuu poleni na hongereni kwa kazi.
Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki.
Hapa kazini, kuna single mom. Yuko vizuri sana. Nimekua nikimuomba game kwa muda mrefu.. Jana akaniuliza... Niko serious kweli, nikamwambia ndio. Tukapanga tukapige game kesho J tano. Leo asubuhi ananiambia Mbona M pesa haijacheka. Yani nitume hela kwanza. Nimechoka.
Mtaani kuna mtoto mmoja mkali sana, nikaonyesha interest kwake, baada ya kuona anaelekea nikamuomba namba ya cm.. Akaniambia hana simu. Maana yake nijiongeze. Nikachoka.
Sasa swali kwenu akina dada, huduma hiyo sasa imekua biashara?? Kama ndio, basi si muaze kutoa na risiti, VAT.
Kuna mechi za kirafiki na weeeBaki na hamu zako
ambazo wachezaji wanachezaga bila kula?Kuna mechi za kirafiki na weee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio masna ake.. Hata mie juzi dem kaja geto akataka kuniuzia.. Nikamwambia aende tu.. Pia mpenzi wa zamani nilimuomba tukumbushie akakataa kunipa bure mpaka nimtoe na mtonyo.... So in short.. The era of free P is finally over!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha kabisa naona imekuwa biashara,juzi jmosi yupo demu kama week hivi hatujawasiliana,hivyo nilijisikia tu kuwasiliana nae nimjulie hali basi baada ya salamu,akanitext "baby naomba elfu 20 nimepelewa kuna inshu nataka ninunue"nikiwa bado naitafakari hio sms ghafla text nyingine hio inasema "halafu Leo nina hamu ya kulala kwako" Mhhh nikajua hili changa la macho tu coz tumezoeana halafu sijawahi kupiga
Kuwafikisha wapi miss chagga?Ni kweli mkuuu sababu hata kutufikisha kwenyewe hamuwezi
Dahh... Uchafu gani mkuu..! . Dunia inakoeleekea hiiKama umeshindwa kanunue barabaran usiku si wanauza inaelekea unapenda vya bure unataka upige halaf uchaf wako atoe na nin kama unaona wanawake wanauzaa mtafute ndugu yako anaweza kukupa bure mana hao wengine si hawakujui