afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
Duh hii kaliNdio maana vijana wa kiume wanakufa mapema kwa kukosa akili! Yaani wewe ndiyo utoe pesa, uandae pa kwenda kufanyia, uandae chakula au vinywaji na kisha ukaminyane umridhishe yeye wakati wewe ndio ulionyesha unalipa ili ukaridhishwe.
Piga tako mbili tu umwage vyombo uvute shuka ulale, akiuliza mwambie nimekuridhisha kwa kukupa pesa uliyotaka, uliona wapi umlipe dereva wa lori alafu alalamike kuwa mzigo wako haukujaa.