Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,027
Na ya K nayo yameshuka...mauzo ya sabuni yanapanda graph...
Na ya K nayo yameshuka...mauzo ya sabuni yanapanda graph...
mkuu umenikumbusha kauli nyingine ya J.k yani huyu "
"watu wanasema jk hachomoi yeye anakwambia hana cha kuchomoa sababu hajachomeka kitu"
ile crip nikiwa na hasira still always naicheki
Aiseee..... ....Zinaa ni dhambi kwa wale wanaoamini katika uwepo wa Mungu muweza Yote.
Ila nimetafakari sana kuona vijana wa sasa jinsi mnapenda sana miteremko kupita kiasi!! Khaa
Yaani unataka huyo dada akufuate kwa nauli yake? apoteze muda kwa ajili yako? ukimchafua akafue nguo zake kwa hela yake? hata kama ataojea sabuni ya rungu unajua bei yake? Be like a man! if i may ask how old r u?
Wape ujue anaeomba hana,na kakuheshimu ndio mana kakuomba wewe....mpe tuu kwanza hela ye nyewe ya kunywia supu wala sio hela ya mana laki tuuu.....lolWakuu poleni na hongereni kwa kazi.
Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki.
Hapa kazini, kuna single mom. Yuko vizuri sana. Nimekua nikimuomba game kwa muda mrefu.. Jana akaniuliza... Niko serious kweli, nikamwambia ndio. Tukapanga tukapige game kesho J tano. Leo asubuhi ananiambia Mbona M pesa haijacheka. Yani nitume hela kwanza. Nimechoka.
Mtaani kuna mtoto mmoja mkali sana, nikaonyesha interest kwake, baada ya kuona anaelekea nikamuomba namba ya cm.. Akaniambia hana simu. Maana yake nijiongeze. Nikachoka.
Sasa swali kwenu akina dada, huduma hiyo sasa imekua biashara?? Kama ndio, basi si muaze kutoa na risiti, VAT.
Hahaahaa elfu kumi !??kwa leo mtoe efu 10... siku zijazo utakuwa unajipigia buree tu
Sijui wanaume ni viumbe wa aina gani yaani ulalamishi kila kukicha hata kwa jambo dogo.Wape ujue anaeomba hana,na kakuheshimu ndio mana kakuomba wewe....mpe tuu kwanza hela ye nyewe ya kunywia supu wala sio hela ya mana laki tuuu.....lol
Ndo mnavyo sema!Siyo biashara lkn MTU siyo mkeo umuombe tu game aje upige burebure. Aoge kwa sabuni yake mwenyewe ka perfume apige na kipodozi isitoshe na nauli ajilipie kukufuata then we we ufurahie tu game. Mambo mengine hampaswi kulalamika
Kwani wakati wa game yy hpti raha mpka alipwe otherwise awe wazi she is full commercial woman mtu ajueZinaa ni dhambi kwa wale wanaoamini katika uwepo wa Mungu muweza Yote.
Ila nimetafakari sana kuona vijana wa sasa jinsi mnapenda sana miteremko kupita kiasi!! Khaa
Yaani unataka huyo dada akufuate kwa nauli yake? apoteze muda kwa ajili yako? ukimchafua akafue nguo zake kwa hela yake? hata kama ataojea sabuni ya rungu unajua bei yake? Be like a man! if i may ask how old r u?
ha haha hela ndogo sana hiyo hata usafiri haitoshi
Wape ujue anaeomba hana,na kakuheshimu ndio mana kakuomba wewe....mpe tuu kwanza hela ye nyewe ya kunywia supu wala sio hela ya mana laki tuuu.....lol
Huyo single mom ni boya tu hajui kula na kipofu mapema hivyo,halafu hawa mademu wanao omba pesa kabla ya game hawajiaminHuyu single mom bado nachonga nae hapa... Nimemuuliza nimrushie sh ngapi M pesa.!? Anasema yeyote ntakayoona itamsaidie yeye na mwanae.
Kazi kweli.