Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,954
kuna rafiki yangu wa kiume alinambia hatakuja kutaka papuch ya mwanamke masikini tena sijui alimanisha nn
Asilimia kubwa ya wanawake hupendwa kuhongwa...ila kwa masikini wanaomba zaidikuna rafiki yangu wa kiume alinambia hatakuja kutaka papuch ya mwanamke masikini tena sijui alimanisha nn
kwa leo mtoe efu 10... siku zijazo utakuwa unajipigia buree tuHuyu single mom bado nachonga nae hapa... Nimemuuliza nimrushie sh ngapi M pesa.!? Anasema yeyote ntakayoona itamsaidie yeye na mwanae.
Kazi kweli.
nashkuru sijatumia akili nyingi kukuelewa umemaanisha nnmauzo ya sabuni yanapanda graph...
mrushie hata ya nauli mkuuHuyu single mom bado nachonga nae hapa... Nimemuuliza nimrushie sh ngapi M pesa.!? Anasema yeyote ntakayoona itamsaidie yeye na mwanae.
Kazi kweli.
Nenda tu kanunue maana hata kununua nako ni K
ha ha ha hata kamatia ni k nayo........Hata kuhonga nayo ni K, K ni K kaka. Kamatia mchuma twenzetu.
mkuu umenikumbusha kauli nyingine ya J.k yani huyu "Usipokua tayari kuliwa huli,sasa wewe unataka kula tu kuliwa hautaki(in jk voice)
Over n gone.Ndio masna ake.. Hata mie juzi dem kaja geto akataka kuniuzia.. Nikamwambia aende tu.. Pia mpenzi wa zamani nilimuomba tukumbushie akakataa kunipa bure mpaka nimtoe na mtonyo.... So in short.. The era of free P is finally over!
Nunua Mara moja uondoe usumbufuNenda tu kanunue maana hata kununua nako ni K
Kwani hii biashara ni mpya kwako?Wakuu poleni na hongereni kwa kazi.
Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki.
Hapa kazini, kuna single mom. Yuko vizuri sana. Nimekua nikimuomba game kwa muda mrefu.. Jana akaniuliza... Niko serious kweli, nikamwambia ndio. Tukapanga tukapige game kesho J tano. Leo asubuhi ananiambia Mbona M pesa haijacheka. Yani nitume hela kwanza. Nimechoka.
Mtaani kuna mtoto mmoja mkali sana, nikaonyesha interest kwake, baada ya kuona anaelekea nikamuomba namba ya cm.. Akaniambia hana simu. Maana yake nijiongeze. Nikachoka.
Sasa swali kwenu akina dada, huduma hiyo sasa imekua biashara?? Kama ndio, basi si muaze kutoa na risiti, VAT.