Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
tuma number yako ya Tigo pesa mkuu...lol
Nakutumia pm mkuu
tuma number yako ya Tigo pesa mkuu...lol
Unajua sikuizi wanawake wanajishughulisha sana kuliko wanaume? hizi senti zao wanazotoa ni za kuwapima tuu kama wanaweza majukumu au laa sasa laki mtu anapiga kinanda wale wanaotoa M na kwenda juu wasemeje? na basi ukipata bahati sasa ya kupewa hicho kiji laki Alokufa mungu amrehemu hiyo sugua yake shuti jasho lamtoka kama yuko GYM..lolTena humu wanaongoza mana hata majukumu yao kama wanaume hawayataki.
Why PM tena mbona unaanza maajabu jamani?Nakutumia pm mkuu
Why PM tena mbona unaanza maajabu jamani?
mmmmmmmmh, Wa Tanga hatutaniiiiiiiiiiiii lol............[emoji3][emoji3] kumbe upo vizuri mkuu, nilikuwa natania aisee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama na hicho ni kiherehere acha tu niwe nacho vingnevyo ntakua nmetandikia watu jamv...
Hamna jema nyie mkihongwa bila kukojozwa mnakuja kulialia humu "ananipa kila kitu lkn hanikaz vzr"
Hakuna cha bure babu kama ni vat tunalipia bado tu kuanza kutoa risitiWakuu poleni na hongereni kwa kazi.
Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki.
Hapa kazini, kuna single mom. Yuko vizuri sana. Nimekua nikimuomba game kwa muda mrefu.. Jana akaniuliza... Niko serious kweli, nikamwambia ndio. Tukapanga tukapige game kesho J tano. Leo asubuhi ananiambia Mbona M pesa haijacheka. Yani nitume hela kwanza. Nimechoka.
Mtaani kuna mtoto mmoja mkali sana, nikaonyesha interest kwake, baada ya kuona anaelekea nikamuomba namba ya cm.. Akaniambia hana simu. Maana yake nijiongeze. Nikachoka.
Sasa swali kwenu akina dada, huduma hiyo sasa imekua biashara?? Kama ndio, basi si muaze kutoa na risiti, VAT.
Mkopo utakopwa wewe yaani unatuma Pesa na K hupati unazungushwa tuUngempiga kwa mkopo, halafu unampotezea mazima.
Ndio maana vijana wa kiume wanakufa mapema kwa kukosa akili! Yaani wewe ndiyo utoe pesa, uandae pa kwenda kufanyia, uandae chakula au vinywaji na kisha ukaminyane umridhishe yeye wakati wewe ndio ulionyesha unalipa ili ukaridhishwe.Unamlipa hivo halafu unaenda kujikakamua eti umridhishe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hakikaNdio maana vijana wa kiume wanakufa mapema kwa kukosa akili! Yaani wewe ndiyo utoe pesa, uandae pa kwenda kufanyia, uandae chakula au vinywaji na kisha ukaminyane umridhishe yeye wakati wewe ndio ulionyesha unalipa ili ukaridhishwe.
Piga tako mbili tu umwage vyombo uvute shuka ulale, akiuliza mwambie nimekuridhisha kwa kukupa pesa uliyotaka, uliona wapi umlipe dereva wa lori alafu alalamike kuwa mzigo wako haukujaa.
Wanawake hamuishi matatizoUnajua sikuizi wanawake wanajishughulisha sana kuliko wanaume? hizi senti zao wanazotoa ni za kuwapima tuu kama wanaweza majukumu au laa sasa laki mtu anapiga kinanda wale wanaotoa M na kwenda juu wasemeje? na basi ukipata bahati sasa ya kupewa hicho kiji laki Alokufa mungu amrehemu hiyo sugua yake shuti jasho lamtoka kama yuko GYM..lol
We we ndyo ume mshawishi kuwa na hisia na pesa zako. Unapomfuata MTU kumwambia unashida na game tu tayari umesham devalue umeonesha kabisa huna mapenzi naye unashida ya kumtumia . na yeye kama keshajikatia tamaa hakuona thamani yake.. Maana wengi ndivyo mnavyowachukulia single moms..bora umlipe muishane
Si ndio hapo sasa ilibidi ni ignore ile text yake ya mwanzoSasa hamu ya kulala kwako kaitoa wapi?
Duuuuhhhh miss chagga Natamani/napenda nikuone/nikutie machonikunifikisha kileleni kiherehere chako