N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,205
- 12,498
Kwanini baadhi yenu mkisikia “baby baba akikwambia nitumie Control Number ya ada nimlipie mtoto” mnabadilika ghafla kuwa mbogo? 😂😂
Mtu anakuomba tu Control Number ili alipe ada ya mwanae, lakini majibu yanakuwa:
«“Kwa nini unataka Control Number?” na matusi mazito juu!
“Hiyo hela nitapanga mwenyewe.”
“Unataka kunidhibiti?” 😂😂
Sasa hapo baba anajiuliza: Kwani uliposema tuchangie ada ya mtoto ni lazima upewe wewe ili uipeleke ?
Naomba wadada mtupe ukweli wenu hapa: Control Number ikitumwa kwa baba wa mtoto ili alipe ada moja kwa moja, tatizo huwa liko wapi?
Au kuna mambo tunayoyakosa sisi wanaume?
Mnawatumia watoto kama chambo cha hela mbali na matumizi mnayopewa?!
Fanyeni kazi