Wadada na zawadi....

mi nnachoamini zawadi hutolewa kumpongeza mtu kwa kitu alichoachieve au kuonyesha tu ulikuwa unamuwaza...sasa hizi za matukio mara chrismass naona kama kuendeshwa na matukio...

wee ndio umekariri vibaya..zawadi ni zaidi ya kitu..hata nedno tuu latosha kuwa zawadi...sema wewe sasa ndo unachezea vijisenti vyako na kwenda kununua mi-vitu unayoijua wewe mara uishie kutimuliwa nayo...mwenzako zawadi nayotoa huwa ni kuongeza dozi ya lile tendo na ikibidi nagonga hata ndogo kama zawadi ya achievements alizofikia....

Jiongeze dogo hao hawaridhiki na maranyingi hupendelea vitu tofauti na unavyowazia...immagine bday yake unamkata denda la kufa mtu mbele ya wazazi wake full kumbambia kumbania ukutani then unamshushia happy bday honey...lazma akubali...hutoskia ukiulizwa zawadi mara maua mara perfumes mara chipi sijui ninininininiiii...

Badilika dogooo toa zawadi zenye kuleta na kuimarisha mahusiano hasa ya ngono.
 
Watu hapa watakuja wakwambia usotoe zawadi kamwe, lakini kumbuka mwanamke ulonae unamjua wewe.

Wengine kama huna kawaida ya kutoa zawaidi, lazima tukununie
Sasa hayo manuno ni ya zawadi tu au kuna mengine?
 
Kaka hayo mambo ni private sana,

Unaweza kukuta watu tunaoponda hapa jamvini tunatoa Vits na Rav4 kama hatuna akili vile!!

Babu DC!!
Aaaa siwezi kufikia ujinga huo, yani mwanamke akiwa mzuri sana basi naenda muoa, kama hataki wacha atafute wakumhonga Rav4 na Vits :cool2:
 
Kaka hayo mambo ni private sana,

Unaweza kukuta watu tunaoponda hapa jamvini tunatoa Vits na Rav4 kama hatuna akili vile!!

Babu DC!!

Kweli kabisa, yani hapa tusidiscuss validity ya kutoa zawadi kwa sababu ina umuhimu wake huko...tuambizane tu mida ya kutoa na sababu...
 
I love gifts.. Mostly zile ambazo napewa in a suprise!
Lakini zile za kupewa sababu ya occassion flani huwa naona kawaida.. So inabidi umsome mtu kwanza. Tunatofautiana sana.
 
Co-authorship inaruhusiwa?

Ningependa nitoe walau mchango wangu....

Zawadi sawa, ila sasa inaonekeana kama watu wanaanza kujisahau kabisa.....Utakimbizanaje na maua kumpelekea dada anayehangaika kupata sahani ya chips + mayai?

Babu DC

yaani kama uko mawazoni mwangu
unaruhusiwa kuwa co author aisee....
 
Sawa sawa kaka yaani yeye zawadi ndo bond ya relation!!!!! it seems anaacha kufanya yanayohitajika kwa mtoto wa kike instead kakomalia zawadi zawadi.......
Boss mkuu tuombe ianzishwe boyz corner ili threads hizi ziwekwe huko na sie tulopevuka tuwaelekeze wadogo zetu on how to deal with issues (not ngono) maana I see a crisis comming

To the boy; Do the needful..........hata usipoleta zawadi hutonuniwa kaaamweeee ila kama hutimizi wajibu wako utanuniwa weeeeeee hata ukimpa gari halafu likapata pancha utanuniwa...........remote ikiwa low batt atakununia....know what!!!! Kwa wanawake kununa kuna beba maana nyingi sana usiishia kufikiri ni zawadi tuuuu

mkuu wazo zuri aisee
kuna vitu vya 'msingi' na kuna 'mbwembwe'
sasa naona watu wengi wanajua mbwembwe badala ya vya msingi....
na support wazo lako aisee
 
Kimsingi, anayenuna kisa hakupewa zawadi siku ya tukio anatumia uanamke wake kama fimbo kukuchapia...na yeyote anayefanya hivyo hana mapenzi ya 'kweli' na wewe

kwa hiyo, kaaa mguu mmoja ndani na mmoja nje...hata baada ya kumshauri maujuzi tunayokupa hapa, ukiona bado tu...basi...huyo mwandikie "Petty cash" yake atambae....
 
mkuu wazo zuri aisee
kuna vitu vya 'msingi' na kuna 'mbwembwe'
sasa naona watu wengi wanajua mbwembwe badala ya vya msingi....
na support wazo lako aisee

Ila kiongoziunajua kuna watu wanadate vianafunzi, sasa vyenyewe swaga zao ndo hizo..haijalishi chuo, sekondari au praimare...wote wanataka maua, machokoleti sijui ma nini

Mimnimegraduate huko aisee...daamn
 
hata kama wanafunzi
chokleti na kumwambia kuna mchele na maini apike mle
unafikiri atapenda kipi?
tena wanafunzi ndo 'unawapeleka kiutu uzima' hadi wanapenda...

mwanafunzi unamwambia aje apike mle
mwisho unamuwekea dvd ya kanumba..kwisha habari yake lol
 
hahaha...kweli, ila kama bado wewe ni bachelor....usisahau "the guide" LOL
 
wee ndio umekariri vibaya..zawadi ni zaidi ya kitu..hata nedno tuu latosha kuwa zawadi...sema wewe sasa ndo unachezea vijisenti vyako na kwenda kununua mi-vitu unayoijua wewe mara uishie kutimuliwa nayo...mwenzako zawadi nayotoa huwa ni kuongeza dozi ya lile tendo na ikibidi nagonga hata ndogo kama zawadi ya achievements alizofikia....

Jiongeze dogo hao hawaridhiki na maranyingi hupendelea vitu tofauti na unavyowazia...immagine bday yake unamkata denda la kufa mtu mbele ya wazazi wake full kumbambia kumbania ukutani then unamshushia happy bday honey...lazma akubali...hutoskia ukiulizwa zawadi mara maua mara perfumes mara chipi sijui ninininininiiii...

Jamii gani hiyo unayoiongelea? Ya kwenye tamthilia au?
 
mkuu wazo zuri aisee
kuna vitu vya 'msingi' na kuna 'mbwembwe'
sasa naona watu wengi wanajua mbwembwe badala ya vya msingi....
na support wazo lako aisee

Kabisa mkuu yaani hawa ni wale anasafiri na partner wake yeye njia nzima ni kumsikilizisha miziki kwa headphone tuuuu na ku-update status mara....tupo chalinze........lunch mombo nimekula chips kuku na redbull.......njia panda ya himo bila kujua kuwa viumbe hawa nao hupenda kupewa changamoto za kimaisha haswa unapokuwa naye outdoor........sasa with this type ndo outdoor matters yanapelekwa ndani na ya ndani yanapelekwa nje........wataacha vipi kununiwa kaka???

Fake lifestyle with egg shell personalities
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom