Wadada na waume za watu

hao wadada unawachundisha tuu maana watachelewa kuolewa wawe na familia
 
haya tumewaachia uwanja.......kazi kwenu wakina dada.......hoja mmeisikia....
 
Haya mambo masheikh, wachungaji na mapadre wanayasisitiza sana ila hakuna anayewasikia sidhani kama wewe watakusikiliza.
Waache waendelee kutumika mpaka anakuja kustuka pale umri unapoenda hakuna hata ksii ksii ndio unagutuka sasa unaanza kusema umerogwa kumbe muda mwingi uliutumia kwa waume za watu saa hiyo shoga zako wote wana familia wewe unabaki kuwa gume gume lililowashinda mpaka mashehe na mapadre
 
[emoji2] [emoji2] najua siku hizi unapata kawivu flan. Lakn kumbuka mhenga aliyesema cha mtu huliwa na mtu chuma ndio huliwa na kutu hakukosea kabisa...
 
Kweli wanaume tusio na wanawake tupo wengi tu.

Asante kwa kutupigania wasitukimbie hawa mabint.
 
[emoji2] [emoji2] najua siku hizi unapata kawivu flan. Lakn kumbuka mhenga aliyesema cha mtu huliwa na mtu chuma ndio huliwa na kutu hakukosea kabisa...
Hahahaaa mkuu vipo vya kushare lkn sii hiyo kitu
 
Sasa wewe mtu kakugeuza kiburudisho una akili kweli familia yake imetulia nyumbani wewe unahangaishwa kwenye nyumba za wageni
Lkn mahusiano huwa yanaanzishwa kw 7bu nying... wkt mwngne mnavutwa na vtu vngne wala ht co pesa, na mnakubali kwa kuwa mnazifurahisha nazfsi zenu! Unakuta mtu hapewi ht mia lkn haambiwi kitu, cjui ndo ile mambo ya msaga sumu kuwa mwanaume mashine![emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo linapokuja ni kwamba asilimia kubwa ya wanaume hatuwezi kuridhika na mke mmoja tu. Japo wake zetu tunawapenda lakn hatuwezi kuridhka sababu ya tamaa za kimwili.
Ndio maana tunatafuta parking ya dharura na ili kuepuka na kelele ndio maana tunawafuata mabint ambao hawajaolewa.

Japo haipendezi lakn huo ndio ukweli hapa sio kiwalaumu mabint bali sisi wanaume ndio chanzo
 
hao wadada unawachundisha tuu maana watachelewa kuolewa wawe na familia
Kwa hali ya sasa kuolewa ni bahati na hata ukiolewa lazima uwe mvumilivu kwa sababu uhalisia wa mwanaume kuhudumia wanawake wengi uko pale pale...ukiolewa juwa changamoto kubwa utakayopata itatoka kwa mwanamke mwenzio
 
Sasa kukubali kwao wanapoteza muda wao wa kuwapata wanaonipenda kwa dhati na sii ninyi waosha marungu
 
Tena ww utakuja kuua mtu.
Spat picha umemfuma live baba ngina heheheee huyo bint atakuja kusimulia maishan mwake atakachokipata siku hyo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
kuua siui ila atajuta kumjua baba ngina
 
Kwa hali ya sasa kuolewa ni bahati na hata ukiolewa lazima uwe mvumilivu kwa sababu uhalisia wa mwanaume kuhudumia wanawake wengi uko pale pale...ukiolewa juwa changamoto kubwa utakayopata itatoka kwa mwanamke mwenzio
Wanaume wapo wengi mno tunawahiwaga kama hatuwhatuwaoni yani tunatafuta wale ambao wameshafanya maisha na wake zao
 
Sasa kukubali kwao wanapoteza muda wao wa kuwapata wanaonipenda kwa dhati na sii ninyi waosha marungu
Jambo la msingi ni kufanya kwa usiri tatzo linapokuja kuna baadhi yenu hata kama umepanga chumba unamruhusu huyo mbaba wako kuja geto kwako hapo ndipo wengi mnaharbu .. Mambo yote yaishie kalumanjira gest house
 
Agiza soda mleta mada nitalipa mim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…