Wadada na waume za watu

Umesahau MSIMULIA MVUA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sana kwa watu mimi napenda size zangu tabia hizo za kutokua na choices ni za mbwa maana hawanaga cha kuchagua ni atakayewahi mtu ana mke wake wewe atakupeleka wapi wewe mgagaa na upwa? Unafurahia kufanywa osheo? Mkewe wanajenga familia
 
Dada naona unawapeperushia watu viwanja vyao vya mazoezi!!
hao wadada wa ivyo wanaitwa viwanja vya mazoezi ukitoka mazoezi unaenda kwenye mechi sasa kwa mkeo!!
Aisee! We kweli mwenda wazimu naona umewachana ile mbaya, eti 'viwanja vya mazoezi' kuna ukweli fulani loading...hapa
 
Naona sana kwa watu mimi napenda size zangu tabia hizo za kutokua na choices ni za mbwa maana hawanaga cha kuchagua ni atakayewahi mtu ana mke wake wewe atakupeleka wapi wewe mgagaa na upwa?
Kwahiyo bf unae au huna mbona unaniweka njia panda mtt wewe
 
Naona sana kwa watu mimi napenda size zangu tabia hizo za kutokua na choices ni za mbwa maana hawanaga cha kuchagua ni atakayewahi mtu ana mke wake wewe atakupeleka wapi wewe mgagaa na upwa?
Nimefurahi hii mada imetolewa na mwanamke. Umesema ukweli, mchepuko hauna thamani zaidi ya kuutumia tu kwa interest zako basi.
 
buku tu huku kitaa [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mume wa mtu ana alama?havutii?kimsingi mwanaume ameumbwa kumhudumia mwanamke ndio maana unaweza kuwa na majike 10 na dume mmoja kwenye zizi na sio madume 10 na jike moja...sisi binadamu kwa ubinafsi wetu ndo tumeanza kujimilikisha lakini sensa inaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume..
 
Haya mambo masheikh, wachungaji na mapadre wanayasisitiza sana ila hakuna anayewasikia sidhani kama wewe watakusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…