Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Kuuliza swali kama hili ni inaonyesha ufahamu mdogo wa binadam na senses zake.
 
mkuu nashukuru kwa darasa la leo.elimu tunapata mpaka tunaenda kaburini.shida yangu kwanini wanatusumbua tunapowahitaji baada ya kututolea mijicho?!
Sbabu ni hii hapa...Nanukuu.. "
wanaume wengi tunapenda mwanmke wa kutafuta kuliko wa kujileta.wa kujileta utamdharau na hamtadumu"
 
Ni kweli mkuu,kama mimi kuna Dada nachati naye Whsp,katika story tukafikia maamuz ya kutumiana picha,nikamtumia picha nimevaa tishet imenishika mwil na sababu ni mtu wa gym,Dada kaniambia "but umenitonesha hilo body structure me hoi"
 
Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAI...

Asilimia 98% Ya Mamen Wapo SINGLE... HAPA NDIPO HESABU ZANGU ZINAFELI..

Sasa Hawa Mademu Wapo Relationship Na Nan!?
chezea namba ww.. nimecheka sana..
 
Labda na huyu anaweza akawa mwanaume Wa dar, maana c unajua tena wanaume Wa dar had wapite kwa dokta mwaka. Teh teh teh teh
kweli wewe ni mwanaume wa mikoani hata hujui kuwa dr mwaka kahamia.SOUTH AFRIKA! Pole
 
hiyo ni siri ya wanawake.mwanaume wako akijua unatamani wengine ni makofi kwa kwenda mbele
Kutamani =Like.....nilivyochukulia mm...au naweza kusema kuvutiwa...ila sio kama kaka zetu anakodoa mpaka unaweza jikwaa..its obvious kuwa unaweza kuwa attracted to someone else(other guys)..ila as a grown up u handle urself...i.e SELF CONTROL
 
Back
Top Bottom