Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,037
- 12,102
Hahahaaaa.Na nyie ndiyo mnafanya baadhi ya wanaume kufia Gym mtu kawaida weight yake ni 60kg kisa upo hapo pembeni unamwangalia atapiga hadi 100kg matokeo yake ni balaa tupu..
Hahahaaaa.Na nyie ndiyo mnafanya baadhi ya wanaume kufia Gym mtu kawaida weight yake ni 60kg kisa upo hapo pembeni unamwangalia atapiga hadi 100kg matokeo yake ni balaa tupu..
Tena wao wanatamani hadi wanaumwa kabisa.Nimewahi kushuhudia dada amemtamani jamaa kesho yake nikamkuta anaumwa kumuuliza anasema yule jamaa wa jana sijui amemroga maana homa yote hii nikwa sababu ya kumuwaza tu.Mkuu hata mimi huwa najiuliza hili swali sipati majibu hawa wanawake nao wanatamani kama sisi?
utakua ulishaniona hata mimiNinapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
Sema wakiwa na heraWanaweza kutamanisha kama watakua smart
Namaanisha Kama Na ninyi mna hisia mbona mnaka kuhongwa?Sijaelewa
Nimezaliwa Na kukulia huko ila sio mwagitoHahahaaaa....naishi huko ila sio segito,kwani wewe ni mwagito?
He hee kawaida hiyoNamaanisha Kama Na ninyi mna hisia mbona mnaka kuhongwa?
Sasa dau lako likinishinda hisia zako unafanyia niniHe hee kawaida hiyo
Sio wakati wote hongo inahusikaSasa dau lako likinishinda hisia zako unafanyia nini
Naenda Gym zaidi ya miaka 10.nakutana na wadada kule.sijawahi wasikia wakionyesha hisia kwa kukiri vile.so sikuwahi waza kama nao wanatuzimikia.Ninapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
Nasikia lakini siyapi uzito najua wao wanapenda hela na life security.sijawahi sikia mke/mpenzi wa mtu mwingine akitamani mwanaume mwingine kwa kukiri.Mkuu hujasikia siku hizi kila binti akiulizwa unapenda mwanaume gani utasikia TALL, DARK AND HANDSOME...Na siku hizi wameongeza and SIX PACK...So sisi wa One Pack hatuna yetu tena....
Gym huwa naona wale wavulana wanaopenda kuwa Marioo ndio wanafanya ujinga huo na wale trainer wanapenda nyapu za bureNa nyie ndiyo mnafanya baadhi ya wanaume kufia Gym mtu kawaida weight yake ni 60kg kisa upo hapo pembeni unamwangalia atapiga hadi 100kg matokeo yake ni balaa tupu..
belly inapunguza performance kwa mkunwaji[emoji1] [emoji2] [emoji12]Six pack muhimu beer belly inahusu View attachment 345384