Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Unasisimka ukiona nini?Hata nasie tuna misisimko
Unasisimka ukiona nini?Hata nasie tuna misisimko
Ndio mara ya kwanza unamuona kwenye pitapita za hapa na pale. Nameza mate nikiibia wajanja wa mjini wasinishtukieSasa si unamwalika nyumbani unajifanya unaenda kuoga ukija unaachia taulo lidondoke!!...ndivyo wenzenu wanavyojilipua
hata wao wanahisia piaMkuu hata mimi huwa najiuliza hili swali sipati majibu hawa wanawake nao wanatamani kama sisi?
Boddy la kimazoezi,haswa kifuaUnasisimka ukiona nini?
Ok..Ngoja nielekee Gym na mm..Kumbe kuna vitu nakosaBoddy la kimazoezi,haswa kifua
Ha haaaOk..Ngoja nielekee Gym na mm..Kumbe kuna vitu nakosa
Huwa hulowi huko kunako?Ninapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
ya kweli hayo?mbona nasikia mwanamke hadi achokozwe?Hata nasie tuna misisimko
mwagika tu,siku hizi ni 50/50. kama umemzimikia mlipie mahariMimi hutamani sana, mtihani ni kumueleza
Kama ni 50-50 mahari ya nnmwagika tu,siku hizi ni 50/50. kama umemzimikia mlipie mahari
unamnunua anakuwa wako jumla....!Kama ni 50-50 mahari ya nn
Hata bila kuchokozwaya kweli hayo?mbona nasikia mwanamke hadi achokozwe?
Una sexy body niniii....
Na sie tunahisia be.
Ninapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
Mkuu hujasikia siku hizi kila binti akiulizwa unapenda mwanaume gani utasikia TALL, DARK AND HANDSOME...Na siku hizi wameongeza and SIX PACK...So sisi wa One Pack hatuna yetu tena....
Hata nasie tuna misisimko
Boddy la kimazoezi,haswa kifua
kwaiyo wanaume wasiokuwa na vifuana six pack kama walinzi wa club hawatamanishi?Tunatamani vizuri tu kama nyinyi tena nikiona likitambi siangalii mara mbili.kuna vitambi vingine ni mpitilizo wa ajabu...huo nope!!
Wanaweza kutamanisha kama watakua smartkwaiyo wanaume wasiokuwa na vifuana six pack kama walinzi wa club hawatamanishi?