Sky kwa nini ufanye maigizo wakati mimi nipo na miraba yangu bapa tumboni?njoo kwangu nifanye live halafu unamiliki kiburudisho bila ku share na mtu.Ninapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
Kwani hizo shule hazima walimu wa kiume?Mkuu hukuwai kusikia kuwa hawa wa kike wakikaa muda mrefu, mfano miezi mitatu bila kumuona mwanume wanachanganyikiwa kabisa siku watakayomuona??..,,waulize wale wadada waliosoma shule za bweni za jinsia moja, hope watakuelezea vizuri kabisa ndipo utakapo amini tamaa yao ni kubwa ushinda kushinda hata ya wa kiume.
Mrembo, mzima wewe? Nimeku miss kweli kweli.Hata nasie tuna misisimko
Mekumiss pia mukaka,long timeMrembo, mzima wewe? Nimeku miss kweli kweli.
Aaaaaah sanaaaaaaa BOB,.promo kali.aje apewe vitu adimu BRN[emoji12]