BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Wewe una flat tumbo?Beer belly peleka huko....
Wewe una flat tumbo?Beer belly peleka huko....
Kuna mahali hela inaweza isiwe issuekweli Valentina? bila pakei(hela)?
Hivi kumbe upoI used to yaani it's very sexy
Wanawake kuolewa saiv ni bahat nasibu...kwa hali hiiHe hee kawaida hiyo
kula laiki na points za kutoshakama kweli mbona tukiwatongoza wanatusumbua.kuna haja ya kusubiri watuanze kama nao wanahisia kali kama zetu.
Kuna mwingine mkuu uzalendo ukimshinda anatumia teknik yoyte.Ila hawa wengi hawataget sana kuolewa.wanaume wengi tunapenda mwanmke wa kutafuta kuliko wa kujileta.wa kujileta utamdharau na hamtadumu
Ukiwa na vyote viwili ni poa zaidiValentina! majority mmekaa hapo kwenye hela na.security ya maisha.
mkuu nashukuru kwa darasa la leo.elimu tunapata mpaka tunaenda kaburini.shida yangu kwanini wanatusumbua tunapowahitaji baada ya kututolea mijicho?!Mkuu hukuwai kusikia kuwa hawa wa kike wakikaa muda mrefu, mfano miezi mitatu bila kumuona mwanume wanachanganyikiwa kabisa siku watakayomuona??..,,waulize wale wadada waliosoma shule za bweni za jinsia moja, hope watakuelezea vizuri kabisa ndipo utakapo amini tamaa yao ni kubwa ushinda kushinda hata ya wa kiume.
kuch kuch hotaeHata nasie tuna misisimko
Shauri ya michensho na mipombe ya bure! wanawake siku hizi wanapenda vya kunyonga.matokeo ni vitambi bila hela.nafuu wanaume wengi wenye vitambi wanahela za mbogaNa hii nayo imekuwa changamoto wadada wengi wana mavitambi makubwa kushinda hata wanaume...Mbaya zaidi ukiwakuta hao wenye vitambi unakuta na mipaja mikubwa kiisi kwamba anaweza vua nguo akae hapo mbele na usione chochote maana tumbo limeshuka hadi kwenye mapaja..
Nadhani huyo ni mwanaume wa dar!Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal