Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Mkuu hujasikia siku hizi kila binti akiulizwa unapenda mwanaume gani utasikia TALL, DARK AND HANDSOME...Na siku hizi wameongeza and SIX PACK...So sisi wa One Pack hatuna yetu tena....
Sasa Six Pack si zinatengenezwa au basi zitengeneze!
 
Mwisho wa Sikh shimo lilelile na mchi uleule na risasi zinaingia palepale.Niaminini mengine mapambo ya macho tu.
 
Na hii nayo imekuwa changamoto wadada wengi wana mavitambi makubwa kushinda hata wanaume...Mbaya zaidi ukiwakuta hao wenye vitambi unakuta na mipaja mikubwa kiisi kwamba anaweza vua nguo akae hapo mbele na usione chochote maana tumbo limeshuka hadi kwenye mapaja..
Samahani lakini ulitaka uone nini kwa mfano!
 
ni ngumu kupata hiyo six pack! isikieni tu
I was just joking kuna mengi ya kupendajinsia tofauti. hata km mtu hana six pack, caring tu , kuonyesha kmjali mwenzio, mazungumzo yatakayoonyesha uelewa wa vitu ( jamani siku hizikutafuta information raha sana japo Google haiamniki sana lakini inasaidia,current affairs jamani) kwa hiyokuna mengi. Na kwenye physical appearance pia yako mengi lakini kikubwa binadamu tumeumbwa tofauti kuna vitu ni tofauti ya kuvipenda kati ya mtu na mtu.
 
Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal
mkuu umenisahau na mimi!
 
Leo asubuhi nimepita mahala nilikuwa nanunua household items nimekutana na wadada wawili mmoja muuzaji mwingine mteja. Wameniambia maneno magumu mpaka nimetamani ardhi inimeze palepale.

Nilivaa nguo na viatu vya mazoezi. Wale wadada wameanza kunichamba! wanasema sisi tukivaa kama wewe hamchelewi kutulaumu kuwa tunawatamanisha, mbona wewe hapo unatutamanisha tunatamani tukubake! was real schocked! sikuona kitu cha ajabu kuvaa bukta na singland nikiwa maeneo karibu na home. Sijawahi waza/kuambiwa maneno kama yale na walikuwa serious.

Nimeondoka kimyakimyaa kama nimedata fulani kwa kufedheheshwa kule na kupewa kisindikizo kuwa ninakoenda niwe makini nisibakwe!

Nimebaki najiuliza hizi nyapu nazo zinawaza kama wanaume?! Wadada nao wanakuwa na hisia na mwanaume kwa muonekano na mavazi? Nakemea hili pepo kwa jina la aliyesimamisha mbingu bila ya nguzo.

Wadada tulieni msubiri application, kazi ya kutamani achieni wanaume.

Sasa Mkuu siungewaambia wakakubake tu. Tena wawe wanakuja kukubaka kila cku
 
Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal

Labda na huyu anaweza akawa mwanaume Wa dar, maana c unajua tena wanaume Wa dar had wapite kwa dokta mwaka. Teh teh teh teh
 
yaan katika vyote nimependa hii mimi.

Nakemea hili pepo kwa jina la aliyesimamisha mbingu bila ya nguzo.

Kwa vile mimi sikukuona nimeambulia hili hapa. Big up Mkuu.
 
Back
Top Bottom