Wadada mtusaidie hili

Wadada mtusaidie hili

😂😂 We Bibi umenifundisha tabia mbaya kijana wa watu! Siku nikitaka mke humu nitakosa maana si reply zako hizi dah! Mi sihusikii😂

Aahahahahahhaaaa kumbe hujagundua lengo langu, nilikuwa nataka Agness ajitokeze hapa wivu ukimzidi ili nimpe maujanja ya namna ya kukukanda kwa asali na machicha ya karanga....

Halle utaacha kumchokoza kigagula Kasie.

Ila kupitia uzi huu niwatoe hofu walimbwende wa JF, siku kijana wangu Kenzy akitangaza nia ya kutaka mke wajitokeze kwa wingi, maana watajitwalia kijana bora ahahahahahaaa

Muone kwanza, nakupigia promo hapa halafu ulete uchokozi wako aahahaha.
 
Na huyo wa kukushinda mpaka aje anitwae mikononi mwako atapata tabu atatumia mpk hirizi pumuzi 😂😂

Kauli yangu ya mwaka huu ni
"SITOKI UNYAMWEZINI"😜
 
Na huyo wa kukushinda mpaka aje anitwae mikononi mwako atapata tabu atatumia mpk hirizi pumuzi 😂😂

Kauli yangu ya mwaka huu ni
"SITOKI UNYAMWEZINI"😜

Aahahahahahhaaaaaa
Umenifanya hui wimbo unijie kichwani.....kamnyangala khanee bhaabhaaa kamnyangala khaneeee
Kamnyangala khaneeee mayooo kamnyangala khaneeee...

Bwana dereva kamata motooo......kamnyangala khaneeee...

Ujue asali inalewesha lakini....
 
Hivi show za kibabe ndyo zipi , ni zile mpaka viungo vifuke moshi,maji yaitwe mma?, aargh mbaya tumieni tu uwezo wenu wa asili bila kutegemea viongeza nguvu nk.too much of everything is harmful.
Hahaha wewe unapenda zipi??

Za kibabe au slow slow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom