Kwa hili Shem ataah!
Namie nipishe! Tena nipishe kwa mbali !
Mi sijamuoa H/gal bwanaa!
Mi nimekuoa wewe!
Haiyumkini nipikiwe na beki3 ilhali we mke upo umeitenga tu veranda , remote mkononi unachambua chaneli !
Kwanza huoni kwa wale mamista wakware inakuwa unamsogeza kunako sorroundin ya Mr kumkandamiza beki ?
Coz akishalemaa na mikaangizi yake , siku dharura happen ukakaanga wewe akaona changes na akala ki'neck upande coz hajazoe pishi lako. Na kinafata Mr kutaka kuona kama beki mapishi kakuzidi je machejo?
Na ndy maumivu huanza polepole hatimae?
Staki jibu.
Coz dunia nzima jibu wanalijua.