Wadada mtulie mnapokuwa jikoni

Simply

Senior Member
Oct 13, 2012
130
30
Hii tabia imekithiri haswa kwa wadada wa mijini
Uko jikoni unapika mara unaongea na simu, Mara unachat txt., Mara Uko kwenye tv , mara unafumua nywele, Mara umeshaingia chumbani chakula umeacha jikoni,,
Mwishowe unaharibu ..
Mbadilike ,!!
Tulieni jikoni wakati mnapika
 
kwa hiyo hata kama mtu kainjika mapure aendelee tu kuuza nyago jikoni?
 
simply vipi? mkeo kaunguza dinner nini? Najua hali ni ngumu ila kakope pale dukani kwa mangi kabla hajafunga, then muanze upya kupika. Pole chali angu.
 
Last edited by a moderator:
nani anapika....h/girl wa nini.....?...nipishe huko.....

Kwa hili Shem ataah!
Namie nipishe! Tena nipishe kwa mbali !
Mi sijamuoa H/gal bwanaa!
Mi nimekuoa wewe!
Haiyumkini nipikiwe na beki3 ilhali we mke upo umeitenga tu veranda , remote mkononi unachambua chaneli !
Kwanza huoni kwa wale mamista wakware inakuwa unamsogeza kunako sorroundin ya Mr kumkandamiza beki ?
Coz akishalemaa na mikaangizi yake , siku dharura happen ukakaanga wewe akaona changes na akala ki'neck upande coz hajazoe pishi lako. Na kinafata Mr kutaka kuona kama beki mapishi kakuzidi je machejo?
Na ndy maumivu huanza polepole hatimae?
Staki jibu.
Coz dunia nzima jibu wanalijua.
 
simply vipi? mkeo kaunguza dinner nini? Najua hali ni ngumu ila kakope pale dukani kwa mangi kabla hajafunga, then muanze upya kupika. Pole chali angu.

Ndugu yangu haya ni majanga., nimefunga Leo bila ya hiari afu wadada wenyewe wanashangilia misiba
 
Last edited by a moderator:
nani anapika....h/girl wa nini.....?...nipishe huko.....

kwel ndo maana Joyce kiria anatoa course kwa ma h/girl maana wife ni zero,
afu smtyms Wana taste ur hand made dishes co Kila kitu h/gl
 
Kwa hili Shem ataah!
Namie nipishe! Tena nipishe kwa mbali !
Mi sijamuoa H/gal bwanaa!
Mi nimekuoa wewe!
Haiyumkini nipikiwe na beki3 ilhali we mke upo umeitenga tu veranda , remote mkononi unachambua chaneli !
Kwanza huoni kwa wale mamista wakware inakuwa unamsogeza kunako sorroundin ya Mr kumkandamiza beki ?
Coz akishalemaa na mikaangizi yake , siku dharura happen ukakaanga wewe akaona changes na akala ki'neck upande coz hajazoe pishi lako. Na kinafata Mr kutaka kuona kama beki mapishi kakuzidi je machejo?
Na ndy maumivu huanza polepole hatimae?
Staki jibu.
Coz dunia nzima jibu wanalijua.

ngoja kwanza shem....twende polepole.....hebu snowhite.. cacico... Kaunga....nyie najua mnapikaga.....mkuje mnijibie shem wangu hapa.....mi bado nipo nipo saaaana.....
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja kama ifuatavyo:
Kwanza kabla ya yote we shem unataka nipike halafu house anakula mshahara wa bure bure?
Nipishe hukooooooooooooo

Mwenzio charminglady kabanwa hapa , hadi kaomba majeshi ya kukodi yaje kum'rescue !
Ndy umekuja mamluki !
Haya twende kazz, unaposema ukipika beki anakula shahara la bure haimake sense ujue?
Una mana kazi za nyumba ni kupika bass ?
Usafi wa home in general ?
Kufua ?
Maosho vyombo?
Kupiga pasi ?
Care watoto?
Hayo ndy duties za beki bwanaa! Jikoni ni kitengo nyeti ujue?
Hunielezi kitu, nitakusamehe endapo utakua una duties zingine. Azawaiz upo hom utapika tu!
No objeksheni !
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana manyumba ya sasa ni open kitchen lol meaning jiko,sebule na dining vyote pamoja suala mpango na hii imenisaidia wakati napika Arushaone ananisaidia kuangalia tamthilia yangu,
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom