hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,231
- 73,028
sio kweli ..sio kweli kabisaaa"" kama hivyo usemavyo ni sahihi basiii Mandela angeshapoteza heshima yake baada ya kuamua kumuacha aliyekuwa mkewe winie Mandela "" Jamii itakuvunjia heshima endapo itaona kuwa unaachana na mke/mume kwa minajili ya kuendekeza umalaya( refer yaliyotokea kwa flora mbasha ""). na pia waweza kupoteza heshima ktika Jamii endapo mwenzako atakuwa anakufnyia usaliti na kutembea tembea na wanaume/wanawake hovyo .vitendo vyake viovu vitapelekea kukuvunjia heshima pia.hata familia yako inaweza ikakutenga..hapa ulipo waweza kuwa umeshapoteza heshima kwa watu kwasababu ya vitendo vya huyo gf wako ila kwakuwa huna desturi ya udadisi umeshndwa kulitambua hilo ...nililo likataa maishani mwangu ni leo kuwa na huyu kesho nipo na mwingine hiyo inakupunguzia heshima halafu kitu kingine hakuna mtu humu duniani asiyependa kupata heshima ya kuwa baba au mama katika familia.
so jiandae kusingiziwa mimba mkuu
