Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
No that is the fornular but sometimes we apply it to the wrong peoplesi kweli...mimi nilimvumilia wangu since tupo chuo hadi tukamaliza...
tukaingia kitaa wote tukiwa jobless...nlimtia sana moyo mana i had hopes ipo siku tutafanikiwa...
na i tried so hard not to put pressure into his life...
sikua nikimuomba pesa na wala pia sikuwa na haraka ya mafanikio...
sikuwahi kumcheat and i loved him like he was the last man on earth...
and in return he dumped me...kisa he doesn want to get married...
nikamwambia ndoa aint a big deal so long as tunapendana kama ipo ipo tu...mara oh sitaki kua kwenye mahusiano kwa sasa...so wewe move on tu kama nlivofanya mimi...sitaki kukupotezea muda...
nkamwambia muda wa kwenda wapi....namuuliza wasnt I good enough for you??? eti no your were great...nilikukosea kitu? no...sasa shida ikwapi...
Sometimes unajitoa kila hali kwa sababu ya upendo ila mwisho wa siku ni maumivu tu...
Mana nlikua pia nampa ideas za biashara...matangazo ya kazi namtumia...
Sometimes hivi vitu havina formula...