Wadada mnisamehe kidogo!

Wadada mnisamehe kidogo!

Usaliti ndiyo usiseme, kuna wengine anaweza kuwa yupo vizuri lakini mwenza anankuwa mzinzi naye analipa kisasi na wenye visasi ni wanawake baada ya kuchoshwa
Dah mi sipendi sana usaliti ila ndio napata wanawake wasaliti adi inakera yani!
 
Back
Top Bottom