Wadada mnapenda tutokeje...

Hayo yote ni mbwembwe tu, kikubwa uwe celeb, mwenye hela, mtoto wa kigogo nk, hata ukivaa gunia siku ya date,hakuna atakayekukataa, achilia mbali mlemavu.
 
Hivi jamani naomba niulize, Ni sawa kumwambia mpenzi wako akabadilishe nguo wakati mnatoka kama hujapenda alivyovaa au unatakiwa uvumilie tu ufe kiofisa japokuwa unahisi anakuchoresha na nguo alizovaa.
 
sasa hapa itategemea kama umemzoea au lah??
kama mmezoeana unamwambia tu kuliko mnaenda afu unaishia kuwa uncomfortable eneo la tukio.
kama mm mmh nakuambia kibisa hapo hakuna aissee, kama ni first date nitakuvutia muda afu siku nitakuambia tuu siwezi kuvumilia mtu kuvaa rafuu au nisivyopenda aisee.
 
Mwanamme akiwa athletic anapendeza mavazi karibu yote hata kaptura na t-shirt.

Asa ukutane na kitambi cha mbege na miguu ya kuku afu uvae hivyo, utachekesha sana.
Suruali itakufichia mengi.

Unene hasara, ngoja nianze gym.
na ww una hili tatizo aisee kalishughulikie fasta bana.
hawa watu huwa hawapendezag hata, hata boxer haziwapendezii mmh.
 
sasa hapa itategemea kama umemzoea au lah??
kama mmezoeana unamwambia tu kuliko mnaenda afu unaishia kuwa uncomfortable eneo la tukio.
kama mm mmh nakuambia kibisa hapo hakuna aissee, kama ni first date nitakuvutia muda afu siku nitakuambia tuu siwezi kuvumilia mtu kuvaa rafuu au nisivyopenda aisee.

Obsesd,

Akikwambia kwamba yeye yupo comfortable na hizo nguo alizovaa inakuwaje hapo?
 
Obsesd,

Akikwambia kwamba yeye yupo comfortable na hizo nguo alizovaa inakuwaje hapo?
mmh yan mm namwambia afu anasema ivo, anagoma hatakucope na swaga zangu aisee atakuwa sio type yangu huyo.
itabid tuagree kudisagree, tusichoshane kbs..... hatutawezana.
unajua wapo wanaojifunza ss kama anagoma anataka kuwa rafuu tu akatafute type zake huyo.
 
Hapo kwenye Red!! Duh.....:redface:

kwangu mimi ukitokea kisharobaro utanikera zaidi 1&2 poa suti na kaptula sio kwa first date hiyo ni kwa mtoko wa matembezi kwa watu wenye mahusiano halafu una mguu wa kuvalia hiyo kaptula kama Fernando Torres huku umevaa soksi na raba bomba sio unakuwa kama mwichi umechomekwa kwenye kinu.
 
mmh yan mm namwambia afu anasema ivo, anagoma hatakucope na swaga zangu aisee atakuwa sio type yangu huyo.
itabid tuagree kudisagree, tusichoshane kbs..... hatutawezana.
unajua wapo wanaojifunza ss kama anagoma anataka kuwa rafuu tu akatafute type zake huyo.

Obsesd,

Anakuja kukugomea baadae baadae wakati ushazama upo deep sana !
 
Obsesd,

Anakuja kukugomea baadae baadae wakati ushazama upo deep sana !
Mmh nitafall vp kwa mtu ambae sipendi anavyovaa, anavyoongea , anavyonukia na nikimwambia afanye iv hataki??
aisee siwez fall kwa huyo mtu, nakuwa mguu ndan mguu nje!
 
Mmh nitafall vp kwa mtu ambae sipendi anavyovaa, anavyoongea , anavyonukia na nikimwambia afanye iv hataki??
aisee siwez fall kwa huyo mtu, nakuwa mguu ndan mguu nje!

Ehhhh!!Kumbe..now i get the picture.
 
Mimi napenda mwanaume anaeweza vaa vyovyote vile... for ni gurantee kua anaweza mazingira yoote na anaishi according to circumstances... nataka ikiwa weekend tumeenda for a stroll avae casual, napenda kama anaenda ofisini na ni ofice work avae formal, napenda kama ni field work avae ki-field work (ambayo mara nyingi ni casual OR Formal casual napendaga kuita) napena kama tutaongozana tunaenda kwenye sherehe kama ni cock tail basi atoke na suit ya Cock tail, napenda kama siku hio twaenda kuangalia shamba letu avae casual na ikiwezekana atupie hata shamba boots, napend kama kashinda siku hio nyumbani awe free na awe him self, kama atavaa kaptula/pensi, kama atavaa mshipi then well and good. Na of coz sitapenda avae chochote kama ni usiku (I kid). Enways mwanaume wa kung'ang'ania vazi la aina moja tu kila mahala... It tells a lot na pia inafanya kua awe anachemka saana.

In short napenda mwanaume ambae anashikilia maadili hasa katika mavazi kiasi kwama Mazingira yoyote he is home. Napenda tukienda kijijini a losen up kidogo sio avunje saana kabati. Napenda kama ni an international gathering hasa za kuonesha utaifa anaweza kua comfy kuvaa shati la kitenge. Wanaume mashoro baro si mbaya saaana tatizo hua most ni washamba! anadhani kua usharobaro upo kila mahala... ndio maana it is better kuwaachia vijana wauza sura.

Kwa mtindo huo ni kwamba napenda mwanaume wangu avae Kila ambacho umeorodhesha hapo kutegemea na mazingira. Naomba tu asitoke na mshipi kwenda nao mahali....

nimependa hii; well balanced na inazingatia mazingira ya mtoko wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom