Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Wadada mnapenda kununua nini ambacho hamtaki kiwe mbali na nyie? Yani kitu/vitu gani hua mnapenda kua navyo kiwe cha kuvaa ama kutembea nacho mahala popote hata ukiwa safarini.

Kitu/vitu gani hua vinawapendezesha macho au mkiwa navyo una feel uko updated
napenda kuonekana tofaut ,, napenda sana mavazi,, kitenge style,, na handbags,
 
Back
Top Bottom