Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,583
Points
2,000
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,583 2,000
Wadada mnapenda kununua nini ambacho hamtaki kiwe mbali na nyie? Yani kitu/vitu gani hua mnapenda kua navyo kiwe cha kuvaa ama kutembea nacho mahala popote hata ukiwa safarini.

Kitu/vitu gani hua vinawapendezesha macho au mkiwa navyo una feel uko updated
 
D

Daftari la Watoro

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
278
Points
1,000
D

Daftari la Watoro

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
278 1,000
Km unaplan ya kumnunulia k2 mchumba wako jiaandae na big disappointment, furaha ya wanawake wengi ni ya mda mfupi baadae anasahau na tena hicho k2 ulichomnunulia km ni handbag siku atakwambia hujawahi kuninunulia hata handbag!
 
Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
4,264
Points
2,000
Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
4,264 2,000
Wadada mnapenda kununua nini ambacho hamtaki kiwe mbali na nyie? Yani kitu/vitu gani hua mnapenda kua navyo kiwe cha kuvaa ama kutembea nacho mahala popote hata ukiwa safarini.

Kitu/vitu gani hua vinawapendezesha macho au mkiwa navyo una feel uko updated
Hapa utasumbua kichwa bure, hawa viumbe hua wanapenda vile vitu ambavyo hawana asee
 
Forum statistics

Threads 1,326,727
Members 509,582
Posts 32,232,539
Top