Huyo mshkaji ni yule wa JF wa kipindi kile?Mshkaji mmoja aliwahi kunizawadia... appreciated.
I was trying to broach ->"gossipy bifold brochure"
I was trying to broach ->"gossipy bifold brochure"
See you next time... .
8.5
Natanguliza shukran!
Unatanguliza shukrani!!! Hebu nitue, nitavipunguza.
Ni kila kitu mkuu, hata kama wanacho! Wewe wape hela tu, ukianza kusema ukimpa hiki atachekelea na kuridhika basi huwaelewi, wewe kata pochi watajijuwa...Hapa utasumbua kichwa bure, hawa viumbe hua wanapenda vile vitu ambavyo hawana asee
ngoja wafungue show room za kigamboni nikupeleke ,anza kwenda driving schoolNdinga kali... Acha tu kutembelea wowowo raha sana!
Huyo mshkaji ni yule wa JF wa kipindi kile?
We sio tomboy kweliNapenda saa, raba pamoja na begi la mgongon ka naenda tution vile kumbe nilisha graduate kitambo
Yule uliempata hapa JF kipindi kile!Kipindi kipi zaidi ya hiki chief
Hahaaahaujamkuta kalichomekea wewe.. anaenda kufagia uwanja wa shughuli.
Yule uliempata hapa JF kipindi kile!
Akili gani,kwani kuna mitihani tunafanya humu?.......Mtu kuongea ukweli ndo kuwa na akili??Kweli aisee, una akili sana.