wadada mna roho mbayaa

wadada mna roho mbayaa

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,470
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.
 
Kwahiyo unamuonea huruma huyo jamaa yako? Mama/dada zetu wasingekuwa na hiyo roho mbaya unayoimaanisha wewe ingekuwaje? Mpe wewe basi usiyekuwa na roho mbaya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kama ilivo haki na wajibu kwa mwanaume kuomba / kutokuomba tundi, vivyo hivo ni haki na wajibu wa mwanamke kukubali au kukataa kutoa/
 
sasa mwaka mzima amekataliwa bado anaendelea kuomba khaaa, sio wanawake wote wanaposema HAPANA wanamaanisha NDIO, wengine wakisema HAPANA ni HAPANA.
 
ukiomba si lazima kukubaliwa na haikupi kibali cha kumchukia wala kumsema vibaya aliyekutosa kukataliwa ni kitu cha kawaida saana kwa wanaume!
Jua wanawake huwa wanatongozwa saana kila kukicha hawawezi kumkubalia kila mtu
 
Maana kila aombaye hupewa. . . .
Napata picha kila muombaji nimpe, si kutakuwa foleni kama ya mbezi shamba?
 
Kama ndugu yako ameshindwa kuvumilia awaachie wenye subira.
 
Hapo sio suala la kulaumu wa dada,kama hampendi akamkubali kesho uje unalia mchumba wangu amenitenda?
Hiyo lawama si sawa
 
Kuna stori ya kuwadi moja nilishawahi itoa hapa kuna jamaa mmoja alikuwa ana kesi kama ya jamaa yako sasa yeye alikuwa kazama kwa mtoto wa bosi bosi wake alikuwa mwarabu huyo dada alikuaa ndio anasimamia kazi za baba yake

Jamaa alikuwa anatukanwa matusi ya nguoni kama mbwa si unajua waarabu tena jamaa akasema dawa ya huyu dada ni kumla tu ila aanzaje mtoto mwarabu...

Kaingia mara ya kwanza kichwa kichwa katukanwa na kutimuliwa kazi

Jamaa akachanganyikiwa sasa ni rafiki wa huyo jamaa kuwadi ambaye ndio jamaa yangu
Jamaa kuwadi akasema isiwe tatizo twende ofisini kwenu mguu kwa mguu mpaka ofisini jamaa kuwadi akamwambia jamaa atoke nje kidogo jamaa akawaacha yule kuwadi na yule mtoto wa kiarabu jamaa sijui wakaongea nini mara yule dada akamwambia jamaa rudi kazini...
Just imagine kirahisi rahisi

Sasa jamaa akamwambia yule mwarabu kwa kuwa kawa favour basi anamtoa kahawa kidogo yaani yule kuwadi ndio kamwambia hivyo

Baadae kuwadi akamwambia yule jamaa ampe laki 2 mafanyie mchezo jamaa huku na huku huku na huku kapata laki 2 kampa kuwadi..siku ya siku mtoto kaja kwenye kahawa sasa maongezi yakawa ya watu watatu kuwadi , jamaa na mtoto

Wakuu yule mtoto alivyokuja kuvua kyupi kwani alikuwa anajijua siku nyingi jamaa kajipigia zake...


So kwa ushajri mwambie huyo jamaa yako atafute makuwadi aakubwa mjini hapa watu wanajenga nyumba na kununua magari kwa kazi hiyo ukiona hivyo ujue anaijua kazi yake
 
umeona eeh!
happy new year rafiki.....

asante rafiki. Happy new year. Ukitaka kuwa miserable ni kujaribu kufurahisha kila mtu. Mungu mwenyewe kashindwa, tupa kuleee kibuti cha mwaka!
 
sasa hiyo foleni utaiweza?

hahaha, foleni kama ya ubungo kimara. Aisee, nomaa. Ama ya cairo city kabisaa. Na honi sasa manake wengine wanatak kuovertake kwa juu. Amenikumbusha mbali sana, ati dada una roho mbaya! Mwingine alisema yule dada ni kichaa, haziko zote. Kha!
 
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.

AAAA Mwaka mmoja tu mnapiga makelele! mwambie bado mingine minne. Kama vipi achape lapa
 
Huyo nae! mi ainizungusha siku mbili tu nasepa! mwaka wa nini wakati kuna watu/wanawake wazuri zaidi yake wanasubiri watongozwe!
 
hahaha, foleni kama ya ubungo kimara. Aisee, nomaa. Ama ya cairo city kabisaa. Na honi sasa manake wengine wanatak kuovertake kwa juu. Amenikumbusha mbali sana, ati dada una roho mbaya! Mwingine alisema yule dada ni kichaa, haziko zote. Kha!
ha haa, overtake siyo?
unajua watu wanashindwa kuelewa. kubembeleza/kufwatilia sana au kwa muda mrefu haimaanishi mwisho wa siku utapewa. unaweza kufwatilia saaana na mwisho ukaishia patupu.
 
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.

Roho mbaya kuukataa Ukimwi/AIDS/SIDA?
Roho mbaya kukataa mateso ya moyo?
Roho mbaya kukataa kuchafuliwa?
Roho mbaya kukataa kuchungwa?
nk, nk, nk, nk, nk, nk, ...................................!?!?!?!?!?

Siielewi hii uzi kabisa.

Bazazi
 
Back
Top Bottom