wadada mna roho mbayaa

wadada mna roho mbayaa

Huyo nae! mi ainizungusha siku mbili tu nasepa! mwaka wa nini wakati kuna watu/wanawake wazuri zaidi yake wanasubiri watongozwe!

Kifulambute
Da! Hivi inawezekana ee! Wapo wanaosubiri watongozwe?
 
Last edited by a moderator:
Hana cha kupoteza, si k zipo za kumwaga! Tena inawezekana huyo ana matatizo. Na dawa yake akimpa tu kesho yake amwache
 
Kwani ni lazima kumpa kila mtu, Mungu anatuagiza katika vitabu vyake kusubiri hadi kupata mwenzi wa maisha. na ninyi mianaume kwa nini usote kubembeleza si unachukua wako ambaye unabanjua wakati wowote bila kusotea tena kwa raha zako wala bila gharama za ziada. acha mkome huyo mdada bigup sana
 
Back
Top Bottom