Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Heheh . . . nimefurahije sasa!!!!
Thank you! :mwaaah:
. . . . . .!!!!!!!!!!!! . . . . . .
hiyo lugha gani tena shostito???????
Mlianza kwa kuvaa suruali zetu tukawanyamazia, mkaja mkavaa fulana na kaptula zetu tukawaacha, lakini kama haitoshi sasa mnapigilia hadi BOXER za kiume, hivi nyie viumbe wa wapi mwapenda copy kila kitu cha kiume? Mbona sie hatujawahi iga mitindo yenu?

Tuvae vitopu na sidiria sio? Hahahaaaaaa.....
Ila why mwaiga kwan masarambua yenu yote hayawatoshi?
sie hatuhitaji na tunaridhika na tulivonavo, ila nyie ndugu zetu mwazidi sasa hebu kuweni na mcmamo.
They're psychologically unsatisfied with their sex. Tuwahurumie viumbe dhaifu hao. Bila kujielewa, wanatukuza hali ya kiume na kuponda hali yao ya kike. Ila wanaboa tu, wao wakidhani ndio kwenda na wakati, maskini!
Eti mmeridhika!
Hivi hamjijui kama nyie ndo sababu ya vitu vya urembo kutengenezwa kwa kasi sana siku hizi?
Lipshine/lipstick zenyewe mshatumalizia madukani!
Mamito nawe lazma utakuwa mvaaji mzuri wa boxer, mbona wataka bishana na ukweli? Kwa hiyo we unavyojua hakuna vazi la kike wala la kiume?
ndugu wala sivai boxer, ila wapi iliandikwa nguo hizi za kiume hizi za kike????
Ndo muige sasa!
wapi iliandikwa kuwa hayo ni mavazi ya kiume?