Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
mbona mekapu wanapaka, waanze nini tena?Na nyie shoneeni mawiving na pakeni make-up
mbona mekapu wanapaka, waanze nini tena?Na nyie shoneeni mawiving na pakeni make-up
Yaani kwa kinywa kipana unapulizia kutuharibia vijana!
Wakishaoza kisha nyie kwa ujumla wenu, maruhani wenu watajapungwa na nani ?
Kalolipop bana unanivunja mbavu, yani janaume zima linajipiga lipstick, we ni mwongo!
Thanx mkuu kwa kulitambua hilo, na majibu yao humu wanaonyesha tu kutojielewa.
mbona mekapu wanapaka, waanze nini tena?
umeona eeeh!Sijui mwenzetu anakuwaga busy sana kiasi kwamba haoni matukio halisi!
Sasa maruhani yanahusiana nini na nguo?
Nyie vaeni tu tuwe ngoma droo!
Jamani hapa tunaongelea mavazi na sio tamaa za kimaumbile, mbona mwataka anzisha mada juu ya nyingine? Na wanaokoboana we hujawaona?
Mbona nimeku'share simple comment, bt umei'rply visivyo?
Na'share tena kwa kukuuliza hivi : wanaume wakiiga miondoko na materials zingine za kike tutegemee production gani about impact?
Ndo maana mwanzoni nikamwambia huyo mwanaume mwenzio kuwa, ajaribu kuvaa high heels na kimini ndo ataona utofauti wetu uko wapi!
Kwa mwanaume mwenye utimamu ataanzia wapi hata kuthubutu?
A woman must never wear anythin men would wear!
And a man must never wear women's clothes or ornaments!
Whoever does this is disgustin to the God.
Utimamu wa akili unadefiniwa vipi? (I may be pleased if you won't rush it as to a feminine character)
BTW, taking an example of boxer . . . .really does it create a disguise???
You just know Kipipi men's pants come in lengths and mostly men wear their pants about the same place (kiunoni)
Women's clothin is a bigger industry than men's clothin so far they needed easier sizin'.
About boxer sina utaalamu nazo vya kutosha.
Mbaya zaidi wanamaliza hadi pambas za watoto!!
Does it conform to what you just said earlier?