Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Yenyewe tu au na vilivyo ndani yake??
Yenyewe ukiwa umeivaa ................!:-*
Yenyewe tu au na vilivyo ndani yake??
Naona hujanipata vile wewe ni "wa siku hizi"
mbona zipo tu na zinavaliwa sana,
kwenye jinsi iliyobana hewa yapita wapi??joto limezidi so tumeacha kuvaa tunataka hewa.
kwanza umejuaje
Uko sawa kabisa mkuu. Kulikuwa na vipande vya kanga na wengine walitumia hata magazeti ya Mzalendo, mfanyakazi, Ngurumo, Kasheshe, Sanifu...KWIKWIKWIKWIKWIIIIIII....Zamani kulikuwa hakuna ALWAYS!........ :A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
kama kuvaa chupi kwenyewe shida,ndio watavaa na hizo gagulo.? siku hizi kuna haya magauni(sijui ndio yanavyoitwa ) yanayoishia kwenye mapaja, basi hiyohiyo blazia,chupi,gagulo na sk taut,!!
Hata ile Jeki ya kupandisha Maziwa nayo siku hizi imepitwa na wakati!
utandawazi huo wa Bikini unapanua Ta.k.o kuona bikini sio zamani unafunua chupi kuona T.ako!
skin tight na under skirt zinafanya kazi sawa? kwako mimi hapana hazifany kazi sawaskin tight imechukua nafasi!
Siku hizi wanavaa hizi kama kaptura..........inachungulia hapa kwa mbali
![]()