charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,000
hahahah usimtishe mwenzio!ban hiyoo!
hahahah usimtishe mwenzio!ban hiyoo!
Waliobakia wanaovaa Undasketi ni wa bibi tu!
Mbona bado tunavaa??
Mie nimevaa ya kijani
chupi zenyewe zimenishinda??
nivae ili iweje ,kwani nguo hainisitiri?
Ndo maana siku hizi fangasi za kwa bibi haziishi, kutwa mtoto wa kike unashinda na taiti na skin jeans hata hewa haipiti, bibi wa watu hapumui.
wewe unavaa hizo underskirt?
Navaa, tena siku hizi navaa hadi zile ndefu za madera. Full upepo.
Swali lingine?
Shumizi nayo hamna.
kuna tofauti gani ukivaa na siku usipovaa?
mh...!!.Gharama za maisha zimepanda..
Nivae p.ichu,nivae andasket,nivae skenitait,nivae sketi yenyewe si ntakua natumia pesa yote kwenye nguo?
Siwezi kujibu hilo swali.
cc; daktari.
Mguu shida huo