Nyie watu mnawaonaje kwamba wamevaa mpaka na gagulo za mabibi wazee mnaziona?
Waliobakia wanaovaa Undasketi ni wa bibi tu!
Waliobakia wanaovaa Undasketi ni wa bibi tu!
mmmmmmmmmh!!!!!!
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri!
Siku hizi sioni andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa!
Kulikoniiiii?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Haki ya kujua navyojisikia imehifadhiwa.
Uko sawa kabisa mkuu. Kulikuwa na vipande vya kanga na wengine walitumia hata magazeti ya Mzalendo, mfanyakazi, Ngurumo, Kasheshe, Sanifu...KWIKWIKWIKWIKWIIIIIII....
Ndo maana siku hizi fangasi za kwa bibi haziishi, kutwa mtoto wa kike unashinda na taiti na skin jeans hata hewa haipiti, bibi wa watu hapumui.
Una umri gani?Magazeti tena?labada huko kwenu aisee.
Ni kweli malkia wangu usivae, maana mimi huwa hainibariki kumtima wange...Sijawahi vaa hiyo, nakumbuka nimekuwa nikinunuliwa shumizi wakati nasoma. Now sijitwishi mizigo ya manguo mengi.
Ili mradi nguo haiangazi ndani, ni nguo pekee basi.
chupi zenyewe zimenishinda??
nivae ili iweje ,kwani nguo hainisitiri?
Siku hizi wanavaa hizi kama kaptura..........inachungulia hapa kwa mbali
![]()
Ni kweli malkia wangu usivae, maana mimi huwa hainibariki kumtima wange...
Sems aspovaa hii kitumbua kinajaa vumbi